Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau naona 1xbet wameweka airtel na Tigo kama recommended method tutumie lakini ukiangalia kwenye mobile payment Voda ipo naomba kujua Voda naweza kuitumia au la
 
WAKUU SITAKI STRESS NIMEACHANA NA 1XBET,NI KAMPUNI GANI NYINGINE NZURI AMBAYO HAINA MAKATO NIJIUNGE?.
 
Voda ipo poa nimewithdraw hela muda si mrefu imefika poa kabisa.
Wadau naona 1xbet wameweka airtel na Tigo kama recommended method tutumie lakini ukiangalia kwenye mobile payment Voda ipo naomba kujua Voda naweza kuitumia au la
 
WAKUU SITAKI STRESS NIMEACHANA NA 1XBET,NI KAMPUNI GANI NYINGINE NZURI AMBAYO HAINA MAKATO NIJIUNGE?.
Sidhani kama kuna mbadala wa 1xbet... Hebu tujaribu kuwa hata na credit card kama vile za bancAbc ambazo hata haitaji uwe na account ya benki huko BancAbc..
tuachane na hizi njia za kufanya miamala kwa simu...
Maana tatizo kubwa hapa ni kutoka na kuweka pesa...
Na hili ni tatizo la mawakala ambao ni m-lipa... BTW binafsi tangu nianze kutumia 1xbet sijawahi poteza pesa iwe wakati wa kutoa ama kuweka pesa...
 
Unatumia mastercard ya bank gan mkuu.. Nbc wako vizur ktk kujisajili au
 
Unapataje
Mkuu naomba nifafanulie kuhusu hio credit card ya Bancabc ambayo haihitaji kufungua account
 
Ukiona ivyo ujue siku iyo kuna matatzo ya kimtandao huku bongo, Hao jamaa kutoa na kuweka pesa huwa wao ni Faster sijawah kuona
 
Naona 1xbet washatoa lile tangazo la UNAVAILABLE, ila nimejarib kurequest kulipa bado hawajanitumia msg
 
Naona 1xbet washatoa lile tangazo la UNAVAILABLE, ila nimejarib kurequest kulipa bado hawajanitumia msg
Nimejaribu Kama kutest mitambo hata buku 5 bila kungoja sms yao! But imekubali fresh tu hata bila ya sms yao (kwa Vodacom)
 
Wakuu kumbe tunapoteza muda wa kusubir sms kumbe kitu inakubali faster tu bila sms nimefuata maelezo tu yale ya yanayotokea baada ya kusubmit ref number nimeweka 009 kitu imesioma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…