Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu options zote zina presha ila option ya under presha yake ni kubwa zaidi, hebu fikiria mfano kwenye basket umeweka under 50 halafu zimebaki sekunde 30 vikapu viko 48 mtu anafungia kwa pembeni inakuwa vikapu vitatu jumla inakuwa 51. Tehtehteh
Mkuu nilishaaapga na kuapa kwmba sitokuja nibet upuuzi wa under nimeshapigwa sana lkn tamaaa mbya hiz mtu hukomi unakuta team inaongoza moja au bilabila mpka dakika ya 75 hv hafu odds zinavutia bhs unajilipua t ila husababisha mgogoro mkubwa sana wa nafsi yahn.
 
Kweny basketball kuna kitu ckielew quarter moja ina dakika 10 au 12 kwa nchi mbali mbali lakin naona mda mwingne game inafika had dakika ishirin ukiangalia kweny saa naomba mnieleweshe kidgo
 
[emoji3][emoji3][emoji3] under ni kuuita ugonjwa wa moyo mwenyewe nilishafanya risechi nkaja kugundua over inakupa amani moyoni kuliko under
 
Kweny basketball kuna kitu ckielew quarter moja ina dakika 10 au 12 kwa nchi mbali mbali lakin naona mda mwingne game inafika had dakika ishirin ukiangalia kweny saa naomba mnieleweshe kidgo
Overtime mzee baba, mimi nilishawahi kulizwa kwa kutegemea saa yangu sina hamu
Saiv mpk nione dk imesogea ya 10 najua zimebaki kama 4 so nakadiria niweke chaguo gani
 
Overtime mzee baba, mimi nilishawahi kulizwa kwa kutegemea saa yangu sina hamu
Saiv mpk nione dk imesogea ya 10 najua zimebaki kama 4 so nakadiria niweke chaguo gani
Daahh na mm leo hyo imeniliza mkuu
 
Daahh na mm leo hyo imeniliza mkuu
Mda mwingne naona dakika haziend kam znaganda hv daahh
Pole sana ila kwavile ushapigwa umejifunza. Halafu uwe unaangalia odds zilivyowekwa na dk zilizobaki. Ukiona labda kwenye over kwa chaguo unalotaka kuweka odds zake ni kubwa na muda unaona unaonywesha bado dk nyingi, usjaribu kuweka huo upande probability ya kupoteza huwa ni kubwa
 
Hapo kwa sasa nimekuwa kondakta wa mrusi nazikusanya tu buku mbili mbil zake buku jero yahn mchawi uwe na mda wa kutosha kama hii ndo ofsi yako bhs unavuna ukiwa seriaz kwa masaa ma5 unapiga laki bila presha yahn......hapa bado namwandalia makombora ya kumtungua.
 
Yeah huwa nakaona ila nikionaga odds ni ndogo naipotezea ila ni kamchongo kazuri
Kubet hakuna odd ndogo ni mtaji wako tu....aya bhs tufanye odds ndogo lakn uhakika unazkusanya mwsho wa siku kama sio mvivu unapiga mpka laki per day unakosa nn mkuu hapo kuliko kuchukua odds kubwa hafu sio uhakika saaana....

Anyway me nimetekelza wajibu wangu wa kutoa tip ninavyomtusua mrusi kwa ss......
 
Eeeehhh kaka kuna tip ya kuingiza buku mbili kila baada ya dakika 5 kwa mtaji wa 20k kuliwa uwe na gundu yahn nasemeje nikupe nondo!????
Safi mkuu, acha wale wachache wanaosema hawezi kurisk laki apate elfu hamsini ila anaweza kurisk laki apate laki tatu. Watu wanarisk laki tano wapate elfu hamsini na kila siku mtu anafunga hesabu.
 
Kweny basketball kuna kitu ckielew quarter moja ina dakika 10 au 12 kwa nchi mbali mbali lakin naona mda mwingne game inafika had dakika ishirin ukiangalia kweny saa naomba mnieleweshe kidgo
Mkuu ni overtime ndio huwa zinazidisha muda inabidi uangalie live muda walioweka wakati wanacheza jinsi unavyotiririka, unaweza kuzani dk zimeisha ukajilipua kwa under kumbe wao wamebakisha dk NNE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…