Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haha si unajua me mzee wa kuokota point za bure maana nimeiweka dakk ya 41.......mkuu lkn yaliyo Nikita doooohhh......hp nishawek mipunga mapambno yanaendelea.
Never give up [emoji123][emoji123]
 
We jilipue t umeamua kutoboa bhs unajilipua tu........ujue huyu mrusi nimegundua nilikuw nafnya makosa ninavyomuhurumia kumbe hafai kabsa yahn
Hafai yani ni kujilipua tu ukimbamba unamlipua ila ndo ivo akikutaim anakulipua kwelikweli bila huruma
 
80 nimegundua dkk 5 nyng aise kabuku kameingia lkn kwa ctrex cjui ndo nimedata maaana ile frankiki ya wale jamaaa ni atr
 
Yahn mkuu kama mbwai mbwai hapa nalala naugulia dose yangu ....asubui nadeposit laki moja keshi tupasuane kweli ss .......kama na kula 10k mpka 20k kwa dkk 5 ijulikane kama naliwa ijulikane tu.............
Daah yani dakika 1 inabadilisha upepo kabisa
 
Bado hawajniletea loss report ya mkeka wangu mpka ss wakt ukiliwa ni ddk duara sijui nimewapigaaa ..........

Ila hata nikila bdo mpngikazi upo palepale wa kujilipua laki............wasifkri ndo nitawasamehe!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…