Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Na kwa manufaa yangu pia nimeelewa asante mkuu ila tujifunze hiz option kabla hatujazivamia ikibid kuuliza jukwaani maana humu wajuaji ni wengi hapakosi kitu.
Hiyo ni LOST mkuu hapo upo kwenye 3 way ambapo kuna option 3 za over, under, na Exactly sasa kona zako zipo 11 ina maana imeshinda option ya Exactly
 
Jana niliomba kuelekezwa hizo handcpa ila nilitoka holla... Naomba kuelekezwa
 

Attachments

  • Screenshot_2018-11-15-19-02-21.png
    18.1 KB · Views: 34
VIP TIPS
MAIN VIP TIPS
Austria
Polten II v Schwechat
Tip over2.5@1.55

Austria
Karabakh W v Traikirchen
Tip over2.5@1.50

Germany
Aachen v Viktoria koln
Tip BTTS(yes)@1.60

Intl.
Netherlands v France
Tip over1.5@1.30
...............................
BONUS TIPS
Austria
Ebreichdorf v Marchfeld
Tip 1@1.50

Intl.Africa
Egypt v Tunisia
Tip 1@1.90

Intl.Africa
Morocco v Cameroon
Tip 1@1.71
...........................
HUNTER PICKS
Spain
Las Palmas v Granada
Tip 1@2.31

Intl
Netherlands v France
Tip BTTS(yes)@1.75

Austria
Mattersburg II v Lobendorf
Tip BTTS(yes)@1.50
 
Kwa mara ya kwanza nmedeposit pesa 1xbet kupitia Number Yao mpya ya 009 hela bado haija ingia kwny account nn tatzo wakuuu
 
Mzee baba upo vizri ongeza dau
Aaaaah mwanangu mpaka kuona nimefika angalau apa nimeliwa sana mzee baba nimekula za uso sana mpaka nikaamua nikae chini yani nirudishe mpira kwa kipa nianze tena upya kujifunza kutoka kwa manguli kina WAMICKY na wengine wemgi mambo bado kabosa boss japo hali sio mbaya kama zamani angalau nimeanz kupunguza zile alama nyeusi kwenye display yangu na. Angalau ukijani unanza kutamalaki ila bado nakula mtizi bro pamoja na kukuza mtaji
 
MKUU hiyo handcap 1(1.5) maana ake nn?
Daaah mkuu sor now ndo naona sms yako mkuu iyo hand cap ya 1(1.5) manake timu ya nyumbani inakuwa inaongezewa magoli mawilo ivyo yenyewe kabla gemu haijaanza inakuwa tayari ina vikapu viwili kipindoni na ukiona pia handcap 1-(1.5) manake ivyo ivyo kwamba timu ya nyumbani kabla gemu haijaanza tayari inakuwa imeshakatwa magoli mawili ivyo ikiingia uwanjani ili iweze kushinda mfano ushindi wa mbilia bila ni lazima ifunge magoli manne kwa maana mawili yankatwa na inabaki na mawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…