if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,477
- 2,089
hilo liko wazi kabisa,hasa hizi mechi za urafiki ohooo,mm cnaga imani ,utashangaa droo ya 0-0 [emoji3][emoji3][emoji3]Muda mwingine huwa nahisibkuwa labda haya makampuni ya betting yanachezaga mchezo na hawa wamiliki wa timu
Mimeichelewa hii Mkuu tupia ndoano nyingine
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] JANA NIMEPUNWA VBAYA NIKAJA JF KULIWAZWA NA GREEN ZA WAMICK
Code ukiwa unatupa nirahisi kutafuta mi mpaka naitafuta hii game siioni
Mkuu kama huna mtaji tulia wenye mitaji wafanye yao et.Nilichogunduaa hapa ndani mtu ana bet anataka kukimbizana na wimicky hata kama ndo anaanza leo while wimicky kashakuaa mtaalamu siku nyingi hebu jifunzeni kuwa na subira na kujidunza taratibu kila kitu ni hatuaa huwez kuanza kubet leo una upate malaki leo.....soma mchezo na wanabet huo mchezo msikurupuke aiseeee
Umeelewa point yangu au anyway asiyejuaa maana usimpe maana nice day nduguNacheza sana football kila Day nala naliwa lyfe linasonga ni mzoefu tu, bt kwa mchezo wa basket ndo sijui ndo maana navizia tips za Wimick so kama roho inakuuma nikisubiria tips we umia tu make Wimick hana roho mbaya anatupia tu na tunazipiga
Mkuu kama huna mtaji tulia wenye mitaji wafanye yao et.
Watoto wa tanga siwawez kwa kuchamb im sorry mkuu bt my point was jitahidi na ww kubet ukiliwa unakuwa umepata new way ya kumkabili mrusi kuliko kusubiriaa wimicky apost and about wimicky kupost siwez muoneaa mtu wivu coz mi mwenyewe im a biggest fan of wimicky and he's one among my mentor aliyenufanya nikapenda kubet basket sa why should i chukiaa mwingine akibet kupitiaa wimicky??u need a several seat brah....Post kama haikuhusu piga kimnya inaelekea inakuuma sana Wimick akipost Tips
Msaada jinsi ya kuwithdraw 1xbet kama unafaham
Waliofuata WOONView attachment 937441
Nacheza sana football kila Day nala naliwa lyfe linasonga ni mzoefu tu, bt kwa mchezo wa basket ndo sijui ndo maana navizia tips za Wimick so kama roho inakuuma nikisubiria tips we umia tu make Wimick hana roho mbaya anatupia tu na tunazipiga