Codes mkuuPutin ukicheza zenye uwezekano mkubwa kushinda zinachana mikeka mbaya kuliko ukicheza ambazo kushinda uwezekano mdogoView attachment 937600
Hela inakimbia...Kwanza niizuie kwa mbeleHii siyo hela in playView attachment 937597
Wanacheza dk 12 hao hawaeleweki unaweza ona km wamesimama wakianza duu ila yote yanawezekana jaribuMbona hapo kama total under elaa ipoView attachment 937611
Kumbe hawa 12 nao[emoji23][emoji23][emoji23]nikashangaa wamegandaa kumbe 12Wanacheza dk 12 hao hawaeleweki unaweza ona km wamesimama wakianza duu ila yote yanawezekana jaribu
Alafu leo nimeliwa sana kwa kuweka over ....Wanacheza dk 12 hao hawaeleweki unaweza ona km wamesimama wakianza duu ila yote yanawezekana jaribu
Vikapu bhana mtu akifungia akiwa kwenye corner ngoma inasoma tatu. TehtehtehHapa ndo utajua huu m hezo hauna gwiji yaani 11.59 away kasawazisha Tena kwa vikapu 3[emoji38][emoji38]View attachment 937614
Naona.umefufuka was about kukuuliziaaa..mzee wa aiseeee[emoji23][emoji23]Vikapu bhana mtu akifungia akiwa kwenye corner ngoma inasoma tatu. Tehtehteh
Tehtehteh aiseeeNaona.umefufuka was about kukuuliziaaa..mzee wa aiseeee[emoji23][emoji23]
Naombaa hizi aisee zako ziwe za faidaa sio unatuleteaa za kijani hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Tehtehteh aiseee
Zitakuja,andaeni mitaji tu. TehtehtehNaombaa hizi aisee zako ziwe za faidaa sio unatuleteaa za kijani hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba zije kwa codes boss...Zitakuja,andaeni mitaji tu. Tehtehteh