Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee, tuliofuata tukawithdraw.
Screenshot_20181117-234947~2.jpeg
 
Mbona mrusi analeta mazingaombwe mkeka ukifika dk ya 8 lazima upotee ana maana gani siku hizi
Screenshot_20181118-002209.jpeg
 
Mkuu ww umeshakuwa monster huko sasa ww shusha tu nondo tutembelee nyota naona nacho kimetoa japo tena nilifika na odds kiduchu ila si haba.
Na usiogope kukuta odds zimebadilika we angalia anaeongoza na anaemfuatia wanapishana points ngapi na zimebakia ngapi kufika 25
 
Tofauti ya point kama ngap mkuu nisiogope maana nimeichungulia hii ya sasa naona kama yule bwege wa away anataka kumaliza game mapema.
Na usiogope kukuta odds zimebadilika we angalia anaeongoza na anaemfuatia wanapishana points ngapi na zimebakia ngapi kufika 25
 
Back
Top Bottom