Kandu88
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 742
- 840
Na hii pia niliruka nayo ubarikiwe mkuu.
WOOOOON MKAWITHDRAW.
WOOOOON MKAWITHDRAW.
Poa poa mkuu nitaweka mapema tu
Achana nayo hiyo cheki nyingineTofauti ya point kama ngap mkuu nisiogope maana nimeichungulia hii ya sasa naona kama yule bwege wa away anataka kumaliza game mapema.
Achana nayo hiyo cheki nyingine
Yap, naona jamaa kanibaniaPoa mkuu angalau hata nimejua mmoja akifika points 25 mchezo unatamatika hii ni hatua muhimu sana walau hata kuujua mchezo japo kidogo.
Yap, naona jamaa kanibania
[emoji3][emoji3][emoji3]Yah niliona gape limeongezeka mkuu nikaona away anatoa ushirikiano kwa mrusi atupige hela ya vodka.
Na wewe ulete [emoji15] [emoji15] [emoji15]Tukutane sheli leta vitu boss[emoji23][emoji23]
PamojaNa hii pia niliruka nayo ubarikiwe mkuu.
Na wewe ulete [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kama hizo au?Mi ndo maana napenda codes
Kama hizo au?
Lete vitu tupate uzoefu zaidi, tukichanganya ideas zako za void na wengine mrusi tunamnyoosha, usinichukulie vibaya mkuuKwahiyo umeniona mm mwenyewe hapo[emoji849][emoji849]
Ndo.maanake boss ni fasta tu mkeka ukitumwa mpka uutafute uvunguni mrusi kashaufuta[emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe ulete [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tehtehteh, AiseeeeNdo.maanake boss ni fasta tu mkeka ukitumwa mpka uutafute uvunguni mrusi kashaufuta[emoji3][emoji3]
Hiyo ya Villa Nova inatick