Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wangap wameikimbiaa we ndo umeikimbiaa unachezeaa gizani ukishinda ndo unajitokeza..si tunapambana hapa hpa kuloose na kuwin still tupo hapa hapa......
 
Msaada hapa wazee wenzangu! Jamaa wanataka niconvert hela iliyoko kwny account kwenda USD, kuna namna ya kuikataa hii kitu? Maana sielew elewi hapa
 
Wangap wameikimbiaa we ndo umeikimbiaa unachezeaa gizani ukishinda ndo unajitokeza..si tunapambana hapa hpa kuloose na kuwin still tupo hapa hapa......
Mbona wengi wanacheza gizani humu uwambie wakishinda ndo wanaleta aisee
 
Wangap wameikimbiaa we ndo umeikimbiaa unachezeaa gizani ukishinda ndo unajitokeza..si tunapambana hapa hpa kuloose na kuwin still tupo hapa hapa......
Haya bro ila ilo giza sijalielewa mkuu ama ni gizan gan unaliongelea kaka kila siku mimi niko apa mwisho wa siku mi angalia ninachoandika mi nasema niko napiga tizi mkuu mimi siyo pro still natafuta ujuzi chief ila pia maskini hawezi kuupata utajiri kwa kumchukia tajiri boss
 
Mbona wengi wanacheza gizani humu uwambie wakishinda ndo wanaleta aisee
yan bro mi sijui hii Africa chuki tutaziacha lini yani kumbe nimefahamu apa mtu anataka yeye akiliwa basi wote mliwe ndo yeye anafurahia ila wewe ukishinda basi yeye anachukia duhh hii hatari aisee mtu anasahau kuwa hawezi kuwa wa kwanza darasani kwa kumchukia yule nayekuwa wa kwanza bila kujifunza kutoka kwake
 
Haya ndoano hii apo mi nimeweka stake ndogo kwa sababu ya hesabu zangu ninavyotaka ziende so anayetaka kufuata afuate asiyetaka ok sawa ila ni ndoano inaweza ikanasa
 
Daah!! Mzee baba kiukwel nimejifunza asee mkeka ulikuwa na mechi 26 nmekosa moja, atleast ngechukua chache za uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…