Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Oi wakuu eti app gan nzri inayotoa tips za over/under2.5 na btts
 
In play
Lethoto vs Tanzania

First half yellow card: over 0.5 at first half

Odds: 1.72
 
Kujilipuaa kwako napajuaa[emoji23][emoji23][emoji23]tujutane baadae kwenye kufunga mahesabu
Aisee nimeweka 300 tu ila salio naona limeleta laki 8 khaaa!!! Ila mamechi hadi ya tarehe 24 mzee ni nomaaa unasubiria green mpaka unasahau
 
In play

Uefa nations lig

England vs Croatia

Shots on target: Both teams to score 2 or more shots on target at fulltime- YES

Odds: 2.0
 
Jaman account yangu premierbet.tz imepigwa block halafu kuna hela ndefu mule ndani, what should I do? Nimejaribu kuwatumia email wakadai mtu atashughurikia tatizo langu but mpka muda huu kimya.
 
Jaman account yangu premierbet.tz imepigwa block halafu kuna hela ndefu mule ndani, what should I do? Nimejaribu kuwatumia email wakadai mtu atashughurikia tatizo langu but mpka muda huu kimya.
Jibu walilokupa wenyewe ndio sahihi ivyo endelea kusubiri, huku ktk uzi utapokea malalamiko tu
 
Hii game ya England vs Croatia

Kuna mkanganyiko wa updates za "shots on target" kati ya 1xbet na sofa score
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…