Mwenda pole hajikwai
JF-Expert Member
- Oct 24, 2018
- 290
- 212
Duuuu inasikitishaWABONGO BWANA WAMEWAPIGA BITI 1XBET,WAMETOA KABISA HUDUMA YA KUWEKA/KUTOA KWA NJIA ZA SIMU ZA KI TZ,
WAMEDHOOFISHA HILI ZOEZI KWA KIASI FULANI,
Wamepigwa biti kivp..???WABONGO BWANA WAMEWAPIGA BITI 1XBET,WAMETOA KABISA HUDUMA YA KUWEKA/KUTOA KWA NJIA ZA SIMU ZA KI TZ,
WAMEDHOOFISHA HILI ZOEZI KWA KIASI FULANI,
Wamenikwaza sana aiseeWABONGO BWANA WAMEWAPIGA BITI 1XBET,WAMETOA KABISA HUDUMA YA KUWEKA/KUTOA KWA NJIA ZA SIMU ZA KI TZ,
WAMEDHOOFISHA HILI ZOEZI KWA KIASI FULANI,
Hizi taarifa umezipata wapi mkuu? Je zina ukweli wowote?Mkuu kuna changamoto 1xbet. kampuni za Kibongo zimewachongea jamaa kwa serekali ndio maana wamesitisha huduma kwa muda.
Sio kwamba umefurahia maana nakujua wewe ulikua unawaponda sana. Mara ooh itafungiwa mda si mrefu.WABONGO BWANA WAMEWAPIGA BITI 1XBET,WAMETOA KABISA HUDUMA YA KUWEKA/KUTOA KWA NJIA ZA SIMU ZA KI TZ,
WAMEDHOOFISHA HILI ZOEZI KWA KIASI FULANI,
Kumbe wanafanyia kazi. Tuvute subira tuMajibu yaoView attachment 939367
Hizi taarifa umezipata wapi mkuu? Je zina ukweli wowote?
Au wewe ndio ulifanya mambo1xbet haijasajiriwa hapa tanzania ,ina mana hawalipi kodi,inatumika kinyemela na kinyume cha sheria, hivyo usalama wa pesa yako ni mdogo sana.Na hata ikitokea kudhurumiwa hauna pa kuwapeleka ,huo ndo ukweli na kupga hela wanapiga kwa ujanja sana
Hao Mlipa si wakuwalaumu mana ni mawakala na wanafanya kazi kwa mjibu wa sheria na pengine yeye ndo anamakosa zaidi hata ya Mlipa kwa sababu hajakaa kiutaratibu.
WE HUJIULIZI KWA NN KAMPUNI ZINGINE ZIPO ACTIVE SANA ZAIDI YAO.Huduma yao itasitishwa mda si mrefu.
Wanavyodai tuvute subiraKumbe wanafanyia kazi. Tuvute subira tu
Yap Mkuu zina ukweli..Siwezi kuandika uongo.Tutakuwa na changamoto ya withdraw na deposit mpaka mazungumzo yakamilike
Calm down brother[emoji2] [emoji2]Tanzania sisi hatuendelei kwa sababu ya usnichi km huu unashindwa kuboresha chako kiwe kizuri unataka umudumaze na mwenzio afanane na ww huo n usenge tu
Anang'ata na kupuliza duh!.Au wewe ndio ulifanya mambo
Daah!!WABONGO BWANA WAMEWAPIGA BITI 1XBET,WAMETOA KABISA HUDUMA YA KUWEKA/KUTOA KWA NJIA ZA SIMU ZA KI TZ,
WAMEDHOOFISHA HILI ZOEZI KWA KIASI FULANI,