Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau 1xbet nikitaka kutengeneza mkeka nakuta zinajibet single bet zenyewe,
Tafuta mechi yoyote, kisha ichague ikikuletea zile options zote, pale juu kabisa upande wa kulia kuna dot 3 click hapo then itakuletea chaguzi kadhaa, wewe bonyeza chaguzi ya kwanza One Click Bet, utakuwa umesolve.
 
Unfortunately, there are some technical
problems with Tanzanian payment
methods at the moment. Our specialists
do their best to resolve the issue.
Please be patient. Best regards,
1xBet Customer Support Team. пн, 19 нояб. 2018 г. в 23:14,
 
Unfortunately, there are some technical
problems with Tanzanian payment
methods at the moment. Our specialists
do their best to resolve the issue.
Please be patient. Best regards,
1xBet Customer Support Team. пн, 19 нояб. 2018 г. в 23:14,
 
Hii huduma ya Transfer Money to a friend ya 1xbet ipo active kweli? Kuna ambaye amewahi kuitumia akafanikiwa? Naona Kila nikijaribu inaleta ujumbe kuwa haiwezekani.

Msaada kwa anayejua.
 
Hii huduma ya Transfer Money to a friend ya 1xbet ipo active kweli? Kuna ambaye amewahi kuitumia akafanikiwa? Naona Kila nikijaribu inaleta ujumbe kuwa haiwezekani.

Msaada kwa anayejua.
Mimi mwenyewe nimejaribu sana hadi nimechoka nikawa nasubiri hapa nyinyi mnipe majibu labda mimi nakosea
 
Hapa ndipo makampuni ya bongo yatajuta na kusema "bora tungepiga kimya"
Hapa sio kujuta ila waige kama mrusi alivyo open kwenye option zake inatakia mtu abet kwa kujimwaga sio kama mbet au m_mcheza yani wanakupangia jinsi ya kubeti mimi 1xbet naweza nikabet tu kwamba mechi hii messi afungi au atafunga hahaha uoni raha iyo
 
Mimi ninachokiona nikama 1xbet wanafanyiwa hujuma nahivi vikampuni uchwara vya hapa bongo ....ila hawajifikilii kama 1x ikiwa registered bongo bhas vikampuni vyao vitakua na hali mbaya sana
 
Asije aisee tutafute tu njia mbadala za kufanya mihamala na sio kufungua tawi hii mikodi inauma aisee nihangaije kupasua kichwa mwenyewe kwenye kubeti alafu kiulain asilimia kazaa zinaenda kwao bado kwenye vibiashara vyangu na kibaruani kwangu mikodi kama yote, hapana aisee abaki tu hukohuko akija hapa tutalia sana.
Asije abaki uko uko ili tufaidi maana akija tu 20% itatuhusu ya serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…