Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu naomba mnielekeze namna ya kujiunga na 1xbet kwenye promo code unaweka no gan Kwan mana nashindwa kujiunga
 
ila kelele zilizidi humu kina siku niliandika je 1xbwt wakiamua kusitisha huduma zao hapa nchini itakuwaje? kuna wiki fulani kelele za m lipa watu kucheleweshewa pesa zao zilizidi humu baada ya hapo 1xbet imekuwa ni kawaida kuondoa mifumo ya malipo kwa njia ya simu

Kuhusu kusitisha huduma kwa upande gani!! (ndugu kama kuwithdraw kuna njia nyingi sana za kutumia kwa mfano hapo down

withdraw.JPG


kwa upande mwingine nadhani ni system. ila kwangu toka nimejisajili toka 2017 sijawahi pata shida yoyote ile kwenye kutoa pesa na mtandao ninao tumia ni Vodacom ila pia hata kwa alternative zingine..

Na kuhusu wadau kulalamika inaweza kuwa namba aliyoregist na ambayo anatolea nitofauti rejea kwangu namba niliyoregist ndo natumia kwa kila kitu!!

Yajayo yanafurahisha Mbaba kuhusu makampuni ya kibongo hakuna kitu kula kwenyewe kwa mbinde ...Bora Mrusi anatutoa kwenye umasikini


Karibu!!!!! Yajayo yanafurahisha
 
Hivi kwann usimwendee inbox? Kwann unapenda kuweka nambayako kwenye public? Cybercrime waijua? Mtumie private SMS.
Kwa kumsaidia futa quote yako maana yeye kashaedit comment yake... ila kwakuwa umequote kabla hajaedit imebaki kumbukumbu ya namba yake
 
Back
Top Bottom