Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ila kelele zilizidi humu kina siku niliandika je 1xbwt wakiamua kusitisha huduma zao hapa nchini itakuwaje? kuna wiki fulani kelele za m lipa watu kucheleweshewa pesa zao zilizidi humu baada ya hapo 1xbet imekuwa ni kawaida kuondoa mifumo ya malipo kwa njia ya simu
 
kwani mkekabet wanatatizo gani? mi mgeni kwenye hi tasnia naomba unijulishe nimejiunga nao majuzi tu.
Option mzee baba, kule 1xbet kila option unayoifikiria ipo, huko mkeka bet,mbet option zao walizoziweka si rafiki kwa kula labda kwa wale wazee wa direct win na double chance tu
 
Pia kuna mkuu aliandika je siku benk unayotunza pesa zako ikatangaza kufilisika na ukapewa mil 1.5 wakati ulikuwa na mil 100 utafanyaje na ndio utararibu ulivyo? Risk ipo kila mahali hilo lako la kusitisha huduma zao hapa nchin wala halima, for risk takers ni jambo la kawaida tu na hutegemewa.
ila kelele zilizidi humu kina siku niliandika je 1xbwt wakiamua kusitisha huduma zao hapa nchini itakuwaje? kuna wiki fulani kelele za m lipa watu kucheleweshewa pesa zao zilizidi humu baada ya hapo 1xbet imekuwa ni kawaida kuondoa mifumo ya malipo kwa njia ya simu
 
Nawahi mechi mapema kabla odds hazijashuka maana Kanji hakawii kuzipunguza kadri muda unapokaribia.

1542649788796.png
 
Naombeni msaada wenu banda umiza langu linataka jenereta ya kufua umeme. Tv mbili, moja ni 43 na nyingine ni 49 pamoja na spika pacha 2 (Alipu).je ile jenereta ndogo ya Boss inafaa?
 
NI AJE WADAU?
NATAKA KUWITHDRAW SOME AMOUNT FROM 1×BET LAKIN OPTION YA VIA MOBILE SIIONI!!!
 
Back
Top Bottom