Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii hapa
Screenshot_20181119-191624.jpeg
 
Mkuu 1xbet hana choyo kbsa. Mimi ananivutia zaidi kwenye upande wa in play! Yaani Mimi Nina mkakati flani naingia laivu nacheki game iliyoko dk 20 haina goli basi nawapa under 1.5 first hafl. Nachagu game 3 sikosi odd 1.7 natia cha ten faida buku 7! Yaani hapo mkeka kuchanika ni nadra sana!! Huwa nafanya hivyo hivyo na najikuta naondoka na faida nzuri kila siku. Sasa hapa kweli uniondoe kwa mrusi unipeleke wapi?

kweli yajayo yanafurahisha 1xbet liwepo tu hata kama hatutajenga powa hata kucheki mpira powa
 
Mkuu 1xbet hana choyo kbsa. Mimi ananivutia zaidi kwenye upande wa in play! Yaani Mimi Nina mkakati flani naingia laivu nacheki game iliyoko dk 20 haina goli basi nawapa under 1.5 first hafl. Nachagu game 3 sikosi odd 1.7 natia cha ten faida buku 7! Yaani hapo mkeka kuchanika ni nadra sana!! Huwa nafanya hivyo hivyo na najikuta naondoka na faida nzuri kila siku. Sasa hapa kweli uniondoe kwa mrusi unipeleke wapi?
sante kwa kutoboa siri hii adimu naifanyia kazi
 
Wadau wa 1xbet Badala ya kulalamika hebu tutafute solutions tuendelee na kazi kama kawa.

Wenye kujua Alternative methods za kudeposit na withdraw watuelekeze...Mfano kuna SKRILL Anayejua atoe maelezo tujiunge
 
Skrill hadi uwe na kadi ya benk cz pesa unaidepost kwenye a/c yako ya skrill then unaihamisha toka skrill to 1xbet. Me nadhani hii njia inawafaa wale wanapfanya miamala mirefu
 
Mkuu 1xbet hana choyo kbsa. Mimi ananivutia zaidi kwenye upande wa in play! Yaani Mimi Nina mkakati flani naingia laivu nacheki game iliyoko dk 20 haina goli basi nawapa under 1.5 first hafl. Nachagu game 3 sikosi odd 1.7 natia cha ten faida buku 7! Yaani hapo mkeka kuchanika ni nadra sana!! Huwa nafanya hivyo hivyo na najikuta naondoka na faida nzuri kila siku. Sasa hapa kweli uniondoe kwa mrusi unipeleke wapi?
na ka risechi kadogo naona kameleta majibu pozitivu
IMG_20181119_194953_013.JPG
IMG_20181119_194929_999.JPG
 
Nilikua nauliza [emoji109] yan kama inakubali tunaeza pona kwa siku kama hizi za majanga
Mpes mastercad ukijaribu kudepost inasoma " invalid card number". Juzi niliongea na costomer care mmoja wa voda akanihakikishia kwamba inafanya kazi %100 sasa sijui inakuaje hapo
 
Mkuu ukiondoa tamaa ya maodi mengi kwa mrusi hulali njaa
Mkuu najua wewe na 1xbet mnaweza kuwa mnafanya biashara waambie warudishe mapema huduma za kifedha kupitia simu.

Hizi kampuni za Bongo nyinyi zina ubabaishaji na hawatoi options za kutosha kwenye mechi.

Kona hakuna, kadi hakuna.
 
Nimechat na customer care 1xbet Kenya, wameniambia zimeondolewa ili kufanyia marekebisho zitarudi soon kwamba tuwe wavumilivu
 
Back
Top Bottom