haha...tunampango wakuwafirisi mpaka wafunge huo mchezowakipokea kichapo lazma wakimbie
Nani kafilisika biko au?haya sasa hawa wanafirisika hawa wanakuja
Nini tena mzee babaLeo nina siku mbaya kweli kweli ofsini
Mzee sasa si utusevu kabla ya ushindi
Mkuu leo nimepigwa kinoma noma yani kuanzia asubuhi mrusi hanipi nafuu nikila 50k basi ananivia achukua 70k mwendo ni huo huo mpaka sasa nimeamua nipumzike kwanza maana nkila 20 yake basi anakula 30 yangu kiukweli leo nimepata tabu na bado naendelea kupata tabu kweli kweli yani hii ni kuanzia basketball saa tisa usiku hadi now jamaa hanipi pumzi nami nipumzike[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Nini tena mzee baba
Ukiona hivyo ni bora ukapumzika kwa muda mdau.Mkuu leo nimepigwa kinoma noma yani kuanzia asubuhi mrusi hanipi nafuu nikila 50k basi ananivia achukua 70k mwendo ni huo huo mpaka sasa nimeamua nipumzike kwanza maana nkila 20 yake basi anakula 30 yangu kiukweli leo nimepata tabu na bado naendelea kupata tabu kweli kweli yani hii ni kuanzia basketball saa tisa usiku hadi now jamaa hanipi pumzi nami nipumzike[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Mapambano yanaendelea mzee babaMkuu leo nimepigwa kinoma noma yani kuanzia asubuhi mrusi hanipi nafuu nikila 50k basi ananivia achukua 70k mwendo ni huo huo mpaka sasa nimeamua nipumzike kwanza maana nkila 20 yake basi anakula 30 yangu kiukweli leo nimepata tabu na bado naendelea kupata tabu kweli kweli yani hii ni kuanzia basketball saa tisa usiku hadi now jamaa hanipi pumzi nami nipumzike[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Yaani jana niliweka mkeka kwa 25000/= Germany kachana 10mins x. Ilibidi nile 150,000/= hapa nilipo sina hamu ya kubeti.Mkuu leo nimepigwa kinoma noma yani kuanzia asubuhi mrusi hanipi nafuu nikila 50k basi ananivia achukua 70k mwendo ni huo huo mpaka sasa nimeamua nipumzike kwanza maana nkila 20 yake basi anakula 30 yangu kiukweli leo nimepata tabu na bado naendelea kupata tabu kweli kweli yani hii ni kuanzia basketball saa tisa usiku hadi now jamaa hanipi pumzi nami nipumzike[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Nimekielewa sana hiki kiwanjaTujaribu haka kakampuni kana vitu fulani vingi kuwazidi Princessbet, Premier bet, M-bet n.k
www.betPawa.co.tz
Mapambano yanaendelea ila leo mrusi kaniweza ile mbaya yaani nikichukua 20 yake basi ujue yeye atachukua 30 ama 40 yake ivyo najiKuta mimi ndo napata hasara yeye anapata faida coz mi nachukua zake kidogo ye nachukua zangu nuingi cha msingi wacha tu nipumzike mpaka usiku saa tisa nianze nae tena naamini nyota itakuwa imesha ngaa tena!!Mapambano yanaendelea mzee baba