Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona jina bado lilikua linakuja MLipa mkuu kwa na namba ya kampuni ni ile ile
Kuna mabadiliko ya mfumo wa malipo kwa East Africa nzima.

Beyonic wamevunja mkataba na 1xbet.

Sahivi hii Tenda ameichukua WalletTechnologies inc. (Wallettec)

Hii imepelekea mpaka Kumbukumbu Namba imebadilishwa kutoka "0081bet" na kua "009" kwa hivi sasa
 
Kingine nasikia TRA nao wanataka 20% ndo mana huduma ya malipo imesimama kwa muda mpaka watakapoelewana, USHAURI kuna Bank nyingi zina huduma ya malipo ya mtandaoni (Visa au MasterCard) unaweza kujiunga huko na mambo mengine yakaendelea kama kawaida
 
Tupeane elimu hii ya kulipia kupitia kadi za benki mkuu
 
Tupeane elimu hii ya kulipia kupitia kadi za benki mkuu
Unachotakiwa kufanya nikufungua account ya bank mfano Standard chartered, UBA, NMB, CRDB kwa baadhi ya bank tayari huduma ya malipo ya mtandaoni tayari imeunganishwa lkn kuna baadhi ya bank unajaza form kuomba card yako iruhusiwe kufanya malipo ya mtandaoni, ukishafanya hivyo kule kwenye 1xbet kuna sehemu ya kudeposit kwa kutumia Visa/MasterCard
 
Kampuni za Kubeti tanzania zitaanza kujiona wao ni machokoro kuna hii ki2 tena inaitwa betpawa!
nao wamekuja
hawakati kodi kwenye
kuweka pesa & kutoa pesa ukila mkeka unapewa kama ulivyo
No nadhani wataja kata siku za usoni si unakumbuka zamani tulikua tunaweka hela meridian na m bet hatukukatwa as day hoes lazima watalazimika kufuata taratibu na sheria za nchi
 
Unachotakiwa kufanya nikufungua account ya bank mfano Standard chartered, UBA, NMB, CRDB kwa baadhi ya bank tayari huduma ya malipo ya mtandaoni tayari imeunganishwa lkn kuna baadhi ya bank unajaza form kuomba card yako iruhusiwe kufanya malipo ya mtandaoni, ukishafanya hivyo kule kwenye 1xbet kuna sehemu ya kudeposit kwa kutumia Visa/MasterCard
Vip viwango vya kutoa na kuweka ndio vile vile maana niliona ukitaka kutoa kwa master card minimum ni 12800 kama sikosei?
 
Kingine nasikia TRA nao wanataka 20% ndo mana huduma ya malipo imesimama kwa muda mpaka watakapoelewana, USHAURI kuna Bank nyingi zina huduma ya malipo ya mtandaoni (Visa au MasterCard) unaweza kujiunga huko na mambo mengine yakaendelea kama kawaida
Na visa ama MasterCard minimum withdraw ni 130975 Tsh
 
Mbona jina bado lilikua linakuja MLipa mkuu kwa na namba ya kampuni ni ile ile
Namba ya kampuni ni ile ile 400700 maana Wakala mkuu wa 1xbet Kwa East africa bado ni M-LIPA.

Ila mmliki na mwendeshaji mitambo na technology inayokuwezesha we we na 1xbet ku-link mifumo ya malipo ni Wallet Technologies inc.

Ni kama ilivyo Mradi wa Mwendokasi. Udart ni Wakala mkuu wa serikali kwenye huo mradi, ila anayewezesha mifumo ya malipo ya tiketi ni Maxmalipo.
 
Hongera ndugu!!!
Kweli yajayo yanafurahisha tutabaki kuwa masikini kama 1xbet lisipokua sawa

KWA WAPAMBANAJI WOTE WA BETTING.

Ndugu zangu,ni siku kadhaa sasa tangu kufanyiwa marekebisho( kama si kuondolewa) kwa huduma ya kudepost pesa kwa njia ya simu kutoka kwa kampuni pwendwa katika Uzi huu ya 1xbet.com,
Kuna mashaka ama wasi wasi kwa kila mmoja wetu, hususani Mimi.

Kwa kawaida, popote pale unapokuta mzungu kawekeza na watu wanafanya kazi kila kuchapo, ujue mahala hapo, huduma zake in za uhakika kabisa kwa kigezo tu kuwa Mzungu amekaa pale.

Mzungu hawezi kusimamisha kazi kizembe tena kwa siku nyingi tu, wakati anajua dhahiri kwamba yupo kwaajiri ya kupiga pesa.

Vyovyote vile atahakikisha kwamba anapambana kurejesha huduma ndani ya masaa 24 na si zaidi ya hapo,kwani anajua ya kuwa akiendelea kupoteza muda na ndivyo anavyozidi kupoteza pesa ambapo jambo hilo halikubaliki hata kidogo.

Nimezungumza haya kwani ni zaidi ya siku tatu sasa, kampuni ya 1XBET, haina huduma ya malipo kwa njia ya simu ambapo hii huduma ni mashuhuri kwa walio wengi kutokana na urahisi wake katika masuala ya miamala.Hivyo kwa upande wa hapa Tanzania huduma hii inavyosemekana inafanyiwa ukarabati na wataalamu.

Swali, “hivi kweli wataalamu wanafanya maboresho gani mpaka yachukue siku zote hizi?”

“Au kuna jambo gani limeshinda ama limeshindikana kurejesha huduma hii ndani ama nje ya masaa 24?”

Siku kadhaa sasa watu hawabeti kupitia kampuni hii, ni dhahiri kwamba hata wao mapato yamepungua kutoka hapa Tanzania.

Hii inatokana na kwamba karibu 85% za makadirio ndio idadi kubwa ya watu wanaorumia huduma hii mbali na wale wanaorumia njia zingine za kibenk kama PayPal, Smart Cash, na huduma kama hizo.

Leo Uzi huu haueleweki watu hakuna jipya tena ni kimya kimya, nimepita jioni kucheki ni nani angalau kaandika, “ In play” chaajabu ni mtu mmoja tu ndo kafanya vile, nadhani hata yeye alikuwa na masalia katika account yake na pengine anamalizia tu ili sote tuwe sawa.

Watu tumekuwa kama wakiwa kwa huyu 1XBET alikuwa mkombozi wetu mkubwa, kutokana na uwanja wake wa masoko ya kubetia kuwa mpana na rahisi katika machaguzi na kupelekea watu kutandaza mikeka yao kwa kujinaafasi kabisa na uhakika wa kula ni mkubwa mno, kulingana na makampuni uchwara ya hapa Bongo.

Watu hawana hela tena, umasikini unanyatia kwa kasi kwani angalau kwa siku watu tulikuwa tunamnyatia bwana Putin na tunafanikiwa kuchukua vijisenti vyake.

Lengo maalumu la makala hii ni,
Kama tumeweza kubashiri timu A kufunga na kweli inaifunga timu B,
Ni dhahiri shahiri kwamba hata Mimi ninabashiri kwamba hii kampuni, huenda imenyanyua virago vyake hapa Tanzania kutokana na figisufigisu za wabongo wasiopenda Maendeleo.

Ndugu zangu wapambanaji wa Betting, Nchi yetu Tanzania,
Hivi karibuni imeingia katika sakata ama sekeseke la kusitishiwa mambo makubwa na muhimu na mataifa makubwa ki dola kama Marekani, Ulaya na Europe.
Mambo hayo ni kama misaada ya hisani, mikopo na uwekezaji.

Eidha, nchi yetu Tanzania, imekumbwa na tatizo la kibiashara hususani biashara za kimataifa,hali iliyopelekea baadhi ya nchi zimesusia kuja kufanya biashara hapa Tanzania, kwa kigezo cha ugumu wa biashara.

Baadhi ya nchi mpaka sasa zimesusa kuja kufanya biashara Tanzania.
Na makampuni makubwa yameanza kuondoka na biashara kubwa za mataifa niliyoyataja pale tayari zimeshadungwa.

Nchi yetu imetengwa na mataifa hayo.Kampuni hii ya 1XBET inatoka Ulaya katika nchi ya Urusi.

Sasa kutokana na matatizo haya,huenda wamefanyiwa figisu na mataifa hayo ili wasifanye biashara hapa Tanzania.

Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wa kubakia na programu tumishi tu katika simu zetu ama tarakilishi zetu tu na hakuna huduma ya kubeti tena.
Furaha kwa wale wanaotumia huduma za kibenki.

Lakini kama si shinikizo la mataifa hayo makubwa, basi huenda Serikali imewafigisu kwani wanatoa huduma zao kwa wateja wao pasina kukatwa kodi, jambo ambalo kwa Serikali ya sasa ni kama uhujumu uchumi na magendo.

Mimi na wewe hatujui kama kuna mazungumzo na Serikali ama wameshindwa masharti ya hapa Tanzania.

Huduma ikirejea basi fresh,lakini isiporejea tutambue kuwa kuna tatizo kubwa sana.

Ndugu zangu wapambanaji wa betting, hayo ni maoni yangu, ruksa kunikosoa ama kuchangia.
Ni Mimi mpambanaji wenzenu,
Kazetela

[email protected]
 
Kingine nasikia TRA nao wanataka 20% ndo mana huduma ya malipo imesimama kwa muda mpaka watakapoelewana, USHAURI kuna Bank nyingi zina huduma ya malipo ya mtandaoni (Visa au MasterCard) unaweza kujiunga huko na mambo mengine yakaendelea kama kawaida
Hapana,
Nmejaribu kuwasiliana na Jamaa wa Technical bench 1xbet.

Anasema tatizo liko kwa Beyonic, Hawakua na uwezo wa ku-handle Traffics za miamala kwa upande wa East Africa.

Hivyo wameamua kumpa tenda MTU mwingine (wallettec)
 
Wadau hivi hatuwezi kutumia hii ya Mpesa kenya kufanya miamala kwa 1xbet.
Itabidi uwe na laini ya safari com. Je mtandao wa safari com unaaccess Tanzania..??

Otherwise ile option ya transfer to friend iwe active then uwe na ndugu ama rafiki kenya ambaye utakuwa unahamisha pesa kwenye akaunti yake then yeye akutumie kwa mpesa...
 
Wakuu hivi CARDS zinazotajwa huko 1xbet ni RED CARDS au YELLOW CARDS au zote kwa pamoja zinatajwa kama kadi?????? .....

Wataalamu wa 1xbet naombeni msaada kwa haraka niweke mzigo.
 
Back
Top Bottom