Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya, yangu macho. Maana, watu bado wamekariri mbet. Poleni sana maana kama 1xbet itatoweka. Tujikaze ila sportpesa hakuna cha bonus wanakata balaa.
 
Kwa hiyo hii ndio sababu ya kuondoa hizo payment method Au kuna sababu nyingine?
Hapana,
Nmejaribu kuwasiliana na Jamaa wa Technical bench 1xbet.

Anasema tatizo liko kwa Beyonic, Hawakua na uwezo wa ku-handle Traffics za miamala kwa upande wa East Africa.

Hivyo wameamua kumpa tenda MTU mwingine (wallettec)
 
Bora hata hiyo paypak.
Unajiungaje na hiyo paypal kwa hapa bongo
Changamoto kubwa mno ila ni nzuri kwasababu inatupa sababu ya kupambana,
wewe fikiria minimum withdraw ni 100000+ hii inamaana itakuhitaj mtu upambane vilivyo kuhakikisha per day unaingiza 100000+ ili uweze withdraw kwa Visa ama MasterCard

Na paypal minimum withdraw ni 30000+
 
Kwa maelezo ya jamaa wa Mlipa anasema wamesimamishwa kutoa huduma ya malipo kwa niaba ya 1xbet mpaka mazungumzo yakamilike juu ya kodi na taratibu nyingine za kuoperate nchini n.k

Hakuna technical problem yeyote ya Malipo.

Sababu kubwa ni hizi kampuni uchwara za bongo kulalamika kuwa jamaa wanawapokonya wateja huku wakiwa hawajasajiliwa rasmi bongo kama wao.Nafikiri wakishindwana tutapewa muda wa kutoa hela zetu..

Hata wakiweka kodi still tutaendelea nao tu.
Duh,
Mi nikajua mtandao tu ndo unasumbua.

Kumbe hadi payment system wameziondoa?

Hapo hali sio shwari mkuu
 
Kwa maelezo ya jamaa wa Mlipa anasema wamesimamishwa kutoa huduma ya malipo kwa niaba ya 1xbet mpaka mazungumzo yakamilike juu ya kodi na taratibu nyingine za kuoperate nchini n.k

Hakuna technical problem yeyote ya Malipo.

Sababu kubwa ni hizi kampuni uchwara za bongo kulalamika kuwa jamaa wanawapokonya wateja huku wakiwa hawajasajiliwa rasmi bongo kama wao.Nafikiri wakishindwana tutapewa muda wa kutoa hela zetu..

Hata wakiweka kodi still tutaendelea nao tu.
Bora niendelee kulipa Kodi huku huku kwa Mrusi kuliko bughudha za hawa wahuni wa bongoland.

Hata waweke Kodi kubwa kias gani, Still Mrusi ni the best katika hii tasnia yetu.
 
Tatizo la kampuni uchwara za Kibongo wanafikiri tunaobet ni kama mateja ya Cocaine hatufanyi analysis yeyote Ile tunabahatisha tu.

Hawajiongezi kuwa Hizo odds zao za kijamaa watawapata wale wa vikaratasi tu...Nani anataka ubet direct win tu Uliwe daily.
 
Unachotakiwa kufanya nikufungua account ya bank mfano Standard chartered, UBA, NMB, CRDB kwa baadhi ya bank tayari huduma ya malipo ya mtandaoni tayari imeunganishwa lkn kuna baadhi ya bank unajaza form kuomba card yako iruhusiwe kufanya malipo ya mtandaoni, ukishafanya hivyo kule kwenye 1xbet kuna sehemu ya kudeposit kwa kutumia Visa/MasterCard
kati ya hizo ulizo taja zinapokea malipo kutoka nje? labda tuseme ume win mzigo na unataka kuvuta mkwanja zinapokea au ni ku deposit tu
 
Wakuu hivi CARDS zinazotajwa huko 1xbet ni RED CARDS au YELLOW CARDS au zote kwa pamoja zinatajwa kama kadi?????? .....

Wataalamu wa 1xbet naombeni msaada kwa haraka niweke mzigo.
Weka Screenshot ya hiyo option usaidiwe mkuu
 
Tatizo la kampuni uchwara za Kibongo wanafikiri tunaobet ni kama mateja ya Cocaine hatufanyi analysis yeyote Ile tunabahatisha tu.

Hawajiongezi kuwa Hizo odds zao za kijamaa watawapata wale wa vikaratasi tu...Nani anataka ubet direct win tu Uliwe daily.
Watazidi kusubiri sana kwa mrusi.
 
kati ya hizo ulizo taja zinapokea malipo kutoka nje? labda tuseme ume win mzigo na unataka kuvuta mkwanja zinapokea au ni ku deposit tu
Kadi yako ikiwezeshwa kufanya malipo mtandaoni unafanya kila kitu hata kulipia bidhaa mtandaoni
 
Back
Top Bottom