Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 2,050
- 2,964
Mkuu hapa tutakuwa tuna bet mara mbili.Solution hapa ni kipga kazi uku ukulinda hii balance ilokuepo kwny Account ya 1xbet kwa Nidhamu ya hali ya juu sana mpaka ambapo Mambo yatakaporejea Sawa.
1. Tunabet mikeka kama kawaida kuchaguwa options katika game
2. Tunabetia pesa baada ya ticket kuwa won maana mpaka sasa hatujui kama ndio hawatakuwepo tena tz au la.
Namb 2 hapo[emoji115][emoji115]tupaangalie sana vipi kama nikipiga mpunga wa maana na huyu mrusi asielewane na wataka kodi watatupa muda wa kutoa pesa zetu???