Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Vyovyote vile itakavyokuwa, uzuri wa Mrusi yuko smart sana anazo njia za kuweka na kutoa pesa ukiachana na njia ya kutumia simu.. Hivyo ni kujiweka tayari kwa njia nyingine hasa za kibenki ili uwekezaji uendelee.