Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Malalamiko yaendelee ila wengine wanaweka na kutoa pesa Kama kawaida! Karibuni M-CHEZA wadau!

1xbet ikirudi hewani ndio tutarejea!
 
Hiv hawa 1xbet hawawezi kufungua at tawi moja hapa bongo ila hivi vikampuni uchwara za wabongo walie
Wakifungua tawi tu kodi zitaanza trust me! Hata hao wabongo hawapendi hizo kodi maana zinawakimbizia wateja ila hawana jinsi kampuni zao wamesajilia brela! Bora ibakie online tu huko sio rahisi kufikiwa maana server zao ziko mbali!
 
*BET PAWA* [emoji817] [emoji818]
Screenshot_20181121-024614.jpg
 
Aisee ni kweli napumzika mpka usiku saa tisa kwenye basketball ndo nianzane naye tena maana leo upepo nauona kabisa hauko kwangu ata kidogo upepo umehamia kwa mrusi asee sijatengeneA profiti yoyote since mornie!
Huo ni ujumbe kwamba hata wanaouza mananasi sokoni huwa yanaozaga pia kabla ya kuuzwa, au wanaolima vitunguu huwa vinakataaga sometime wanakula loss! Ndio biashara mkuu funga duka hadi jioni!
 
Back
Top Bottom