SINA JAMBO
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 338
- 270
CVC 2 NI NAMBA 3 ZIPO NYUMA YA CARDTupe maelekezo ni bank gan unayotumia CVV Number inakaa upande gan mwa card
CVC 2 NI NAMBA 3 ZIPO NYUMA YA CARDTupe maelekezo ni bank gan unayotumia CVV Number inakaa upande gan mwa card
WALIIOFWATAAA CONG'S
League: EUROPE: UEFA Nations League /
Time: 20:45
Match: Malta – Faroe Islands
Pick: X /X Odd: 4.30 / HT/FT Result: ?:?View attachment 941144
Apa dar ofis zao zipo wap mkuu??Natumia UBA prepaid card, ukichukua tu card inakuwa imeshakuwa activated huna haja ya kuanza kujaza fomu ya activation. CVV code inakaa kule nyuma ya card baada ya signature. Pia huhitaji kufungua account na benki yao, lakini pia hii card haina makato ya mwezi makato ni pale tu unapofanya miamala.
***Aisee UBA mnilipe sio kwa promo hizi****
nimefuata mkuu
ngoma kumbe ni ya saa 3 usiku
Achaga madharau ngoshaHaaaaah mkuu upo Simiyu ako ka mkoa bado sana wilaya zenywe changa tu Sio bariadi, meatu, busega, maswa, Itilima kote hakuna ufadhali kwny huduma muhimu
Ilo sio jiji ni mkoa tu na kukua kwake sio leo wala keshoAchaga madharau ngosha
Jiji letu kukaita ka mkoa?
Acha hizo wewe..
Karibuni simiyu!
Yaani wewe nhamala
Kubet hapa utajua tu ni juhudi zako mwenyewenataka kujifunza kubet naomba muongozi...naomba mentor
karibu kwenye ulimwengu wa kubeti ila inahitajika uwe mvumilivu sana na hatuhitaji kukata tamaa leo unakula kesho unaliwa ndo maisha ya huku karibu sana kwenye soko letu la hisa.nataka kujifunza kubet naomba muongozi...naomba mentor
nataka kujifunza kubet naomba muongozi...naomba mentor