Jamaa wametuona sisi ma zwazwa kweli, odds nzuri wanaweka kwenye 3 way tu! Kwenye option chache zingine zenye afadhali unakutana na odds za 1.09 ha ha ha ha! Kampuni za kibongo wezi sana wanataka wao wale tu kama kamali za korokoro!Tatizo la kampuni uchwara za Kibongo wanafikiri tunaobet ni kama mateja ya Cocaine hatufanyi analysis yeyote Ile tunabahatisha tu.
Hawajiongezi kuwa Hizo odds zao za kijamaa watawapata wale wa vikaratasi tu...Nani anataka ubet direct win tu Uliwe daily.
Utakuwa huja huisha (Activate) Card yako kufanya malipo mtandaoni, cheki na benki yako!Naombeni msaada wakuu.Nimejiunga BETWAY365 ila tatizo ni wakati wa kudeposit,naambiwa account yangu ime be declined by bank.Nifanyeje ili niweze kudeposit hela.Sina kadi nyingine ya benk zaidi ya hii.MSAADA ANAYEJUA
ha ha ha ha hahaSOLUTION NI KUHAMIA VISA NA MASTERCARD BASI...!!! NETWORK IKISINGUA TUANZE KUWATUKANA WATU WA BANK ILI NAO WAJUE HASIRA ZA MKAMALIA
Unamaanisha hiyo card ya UBA ndio huchukua 7days? Fafanua mkuuKimbembe ni bank transfer inachukua hadi siku 7
Je, kuna gharama yoyote kupata hiyo cardNatumia UBA prepaid card, wala huhitaji kuwa na Account na bank, unafika unajiandikisha unachukua kadi yako unaondoka.Kadi inakuwa imeshakuwa activated, ukichukua tu unaanza kufanya miamala papohapo, Unaweza kuload card kwa Teller au kwa mitandao ya simu.
1Nimefanikiwa..
Bado sijadeposit kwakuwa nilikuwa nina salio 1xbet ambalo natumia hadi sasa, isipokuwa tu nataka kujaribu kuwithdrawInachukua muda gani kudeposit?1
Kadi ya UBA ni 20000 TshJe, kuna gharama yoyote kupata hiyo card
Mkuu tunakusubiria tutembee na mikeka yakoTIME = 17:00pm
EUROPE: Euro U19 –
First stage
Croatia U19 – Czech
Republic U19
Tip : 3+ ( Over 2.5
goals )
Odds : 2.25
Congratulations
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Shukrani kaka,kwahiyo inabidi nikutane na watu wa benkiUtakuwa huja huisha (Activate) Card yako kufanya malipo mtandaoni, cheki na benki yako!
Nenda kapime pressure kwa dr. Halafu uje uatach majibu hapa ndio tukushauri kama una sifa za kubet ama lah!nataka kujifunza kubet naomba muongozi...naomba mentor
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka hiyo siku nilimpa Man U win kisha hadi Ht jamaa kakalia... Nikawa najiuliza kweli zinarudi hizi goli...?? Mbona gundu hili..!!! Ohoooo... Ft man u won [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda kapime pressure kwa dr. Halafu uje uatach majibu hapa ndio tukushauri kama una sifa za kubet ama lah!
Kuna siku Newcastle-Man U walikuwa wanacheza na Mimi nilimpa New castle Kipindi cha kwanza tu New castle akawa anaongoza 2-0. Mi nikatoka pale meridian nikaingia bar Fulani ya uchochoroni kula balimi huku nikisubiri Mpira uishe. Kabla kipindi cha pili hakijaisha jamaa wawili wakawa wanaingia mmoja anajisifu hoo! nilikwambia! Man U hii sio ya mchezo! Dah! Sitasahau ile siku! Yaani man u alipindua matokeo kipindi cha pili.
Pambana upate minimal amount ya withdrawKumbe ukitumia MasterCard huwezi withdraw chinu ya 50euro?
Kazi kweli!
Bado sijadeposit kwakuwa nilikuwa nina salio 1xbet ambalo natumia hadi sasa, isipokuwa tu nataka kujaribu kuwithdraw
Sasa nbona hii Nazi itakuwa ya mabepari tu! (Wenye mitaji mikibwa)Kumbe ukitumia MasterCard huwezi withdraw chinu ya 50euro?
Kazi kweli!
Ndio utashangaa sasa, watu wa hivyo wapo tu mkuu maana wasingekuwepo hata ile midosho ya kariakoo ingekuwa haiuziki! Tuheshimu tu hisia na mawazo yao!Mimi jana baada ya kuona link humu nikaijaribu lakini nilibaki nacheka tu!!.. Live games zilikuwa mbili tu!! Alafu anaibuka mtu eti kiwanja kakielewa sana.. mimi nashangaa!!