Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Kweli kiongozi.. Huu ni mfano mzuri.Ndio utashangaa sasa, watu wa hivyo wapo tu mkuu maana wasingekuwepo hata ile midosho ya kariakoo ingekuwa haiuziki! Tuheshimu tu hisia na mawazo yao!
Kweli kiongozi.. Huu ni mfano mzuri.Ndio utashangaa sasa, watu wa hivyo wapo tu mkuu maana wasingekuwepo hata ile midosho ya kariakoo ingekuwa haiuziki! Tuheshimu tu hisia na mawazo yao!
nimepima vipimo vyote.naweza kuyandle matokeo yote.SIJAWAHI BET HATA SIKU MOJA NDO NATAKA KUANZANenda kapime pressure kwa dr. Halafu uje uatach majibu hapa ndio tukushauri kama una sifa za kubet ama lah!
Kuna siku Newcastle-Man U walikuwa wanacheza na Mimi nilimpa New castle Kipindi cha kwanza tu New castle akawa anaongoza 2-0. Mi nikatoka pale meridian nikaingia bar Fulani ya uchochoroni kula balimi huku nikisubiri Mpira uishe. Kabla kipindi cha pili hakijaisha jamaa wawili wakawa wanaingia mmoja anajisifu hoo! nilikwambia! Man U hii sio ya mchezo! Dah! Sitasahau ile siku! Yaani man u alipindua matokeo kipindi cha pili.
nataka nijifunzekaribu kwenye ulimwengu wa kubeti ila inahitajika uwe mvumilivu sana na hatuhitaji kukata tamaa leo unakula kesho unaliwa ndo maisha ya huku karibu sana kwenye soko letu la hisa.
Umechelewa kidogo, sehemu ya kujifunzia vizuri ilikuwa Tanzania alivyocheza na Lethoto....ungebeti Tanzania ashinde alafu ungetia Kamilioni HV...sasa hivi ungekuwa mzoefu tosha...nimepima vipimo vyote.naweza kuyandle matokeo yote.SIJAWAHI BET HATA SIKU MOJA NDO NATAKA KUANZA
kajifunze kubeti kule biko& 3mzuka ukipata uzoefu urudi ku2pa mrejeshonataka nijifunze
nataka nijifunze
hawakati na unabetia kuanzia 1-9999999Mkuu hao betpawa hawakati kodi kwenye pesa ya ushindi?
ile rahiskajifunze kubeti kule biko& 3mzuka ukipata uzoefu urudi ku2pa mrejesho
Hawakati kodiKwani hiyo 1xbet hawakati kodi na vipi iko hewani au imepigwa ban
Sasa ukitaka kuweka hela unawekaje ili ucheze kama kudeposit ni ngumuHawakati kodi
Ipo hewani kama kawaida sema wameondoa zile mobile payment system za kudeposit na kuwthdraw
Zipo njia nyingine za ki bank kama master card unaweza tumiaSasa ukitaka kuweka hela unawekaje ili ucheze kama kudeposit ni ngumu
Njoo PM nikufundishe, ila uwe seriousnataka nijifunze
BOT waliingilia kati nini?Kwa sasa ni ngumu sana kupokea pesa kwa kitumia PayPal, mimi nina account ya PayPal na huwa naitumia kufanya miamala nje ila kwemye kupokea inakataa, nilipozama kutafuta taarifa zaidi ndo maelezo kama hayo. Kwa Tanzania haiwezekani View attachment 941455
Je, kiwango cha chini kudeposit ni kiasi gani?hawakati na unabetia kuanzia 1-9999999
jackpot yao n shiling 100
Hapana . Mitandao yoteWakuu nauliza mnaotumuia bet pawa Ni lazima ufanye transaction kwa mpesa pekee je Kama una tigo pesa?
Tazara pale mbele kidogo ya Azam TV Karibu na kiwanda cha sigara. Na nyingine iko Posta mpya pale.Apa dar ofis zao zipo wap mkuu??