Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

habari za jion tena wandugu !!!

ushauri wangu tusilaumu sana kuhusu mobile payment kuzuiliwa bali tuangalie alternative za kufanya ikiwa kufungua account za bank nadhani itasaidia

yajayo yanafurahisha!!
 
Oya wazee fanyeni kujiwekeza mzigo wa maana kipindi hichi mrusi katoa payment method za hapa bongo. ili akirudi kwa hewa unatia mzigo wa maana mpaka anasema eeh huyu mbona ameanza kuniandalia mikombora ya aina hii,,, kama ulikuwa unamrushia ballstick mrushie atomy,,au hydrogen
 
ila inashangaza kuona mwaka 2018 bado mifumo ya malipo kwa njia ya mtandao nchini mwetu yanasuasua mchawi nani?

Shughuli yaani hakuna mtandao ambao unaoweza kuangalia fursa hii wawe wanapiga macommission .. yaan hata kama mtu hajasoma kwa hapa akipewa fursa ya depositing kwenye 1xbet lazma achangamke.

Yajayo yanafurahisha
hakuna #Vodacom #Airtel wala #Tigo
 
Kuna kampuni moja inaitwa pigabet ina option nyng kama xbet ila tatzo lao moja tuu kweny ku withdraw pesa inafka ad cku mbili ila kwenye kuweka ipo fasta kama utakuwa na uvumilivu ijarbu wakat tunaendelea kuwasubil kampun yetu xbet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…