Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Natumia UBA prepaid card, ukichukua tu card inakuwa imeshakuwa activated huna haja ya kuanza kujaza fomu ya activation. CVV code inakaa kule nyuma ya card baada ya signature. Pia huhitaji kufungua account na benki yao, lakini pia hii card haina makato ya mwezi makato ni pale tu unapofanya miamala.

***Aisee UBA mnilipe sio kwa promo hizi****
Je, kwa upande wa NMB..?
 
Je, kwa upande wa NMB..?

Ukiona hupewi jibu ndugu ujue wezakuwa hakuna mdau anayetumia Nmb kwa ushauri naomba tenga muda nenda tawi lolote lililo jiran nawe ukapate maelekezo..

ila kwa Crdb ukishapata kadi yako unarudi kwa ajili ya kuactivate card yako iweze kufanya malipo na manunuzi online ...


yajayo yanafurahisha
 
Angalau hiyo pigabet inashawishi kidogo japo uchunguzi zaidi unahitajika kujua ubora na udhaifu wake.
 
Ukiona hupewi jibu ndugu ujue wezakuwa hakuna mdau anayetumia Nmb kwa ushauri naomba tenga muda nenda tawi lolote lililo jiran nawe ukapate maelekezo..

ila kwa Crdb ukishapata kadi yako unarudi kwa ajili ya kuactivate card yako iweze kufanya malipo na manunuzi online ...


yajayo yanafurahisha
Mkuu nashukuru kwa jibu lako...

Ila nilikuwa naomba msaada kwa kwako kuhusu 1×bet.

Nilikuwa na maswali kama matatu hivi..
 
mimi bado niko exbet na naendelea kupambana na mrusi uku uku xbet siami
Screenshot_20181121-214914.jpg
Screenshot_20181121-204251.jpg
Screenshot_20181121-204242.jpg
 
Back
Top Bottom