Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,731
- 3,527
Sijajua njia muitumiayo wenzetu, ila ningependa muongozo mkuu hata kunipa njia nyepesi ya kuweka na hataka kutoa pia.kwa kutukia njia ipi
Sijajua njia muitumiayo wenzetu, ila ningependa muongozo mkuu hata kunipa njia nyepesi ya kuweka na hataka kutoa pia.kwa kutukia njia ipi
Aaaaaah mkuu unataka nipanue bajeti kiongozi sema zaidi nimezoea kutumia icho kiwango mara nyingi napendelea kuset iyo amount as a stakeNaona unabana bajeti mkubwa!!!!!!
Sijajua mkuu, ila unaweza kuwauliza online kwenye mitandao ya kijamii au kuwatembelea tawini.Je, kwa upande wa NMB..?
Iv yann kuteseka kwamba kampuni zimeisha au uvivu wakujiongeza unakaa kaa tuOya wazee fanyeni kujiwekeza mzigo wa maana kipindi hichi mrusi katoa payment method za hapa bongo. ili akirudi kwa hewa unatia mzigo wa maana mpaka anasema eeh huyu mbona ameanza kuniandalia mikombora ya aina hii,,, kama ulikuwa unamrushia ballstick mrushie atomy,,au hydrogen
Ivi kinacho kuangaisha nn hadi sasa araaNaambiw kwamba kadi hii haikubaliki. Kadi niliyokuwa nayo haikuleta shida, nilipobadilisha hii naona inazingua, shida ni nini? NafanyajeView attachment 941767
Sijajua njia muitumiayo wenzetu, ila ningependa muongozo mkuu hata kunipa njia nyepesi ya kuweka na hataka kutoa pia.
Ww tulia bana ulale atutaki kelele za xbetWakuu nina kadi ya NMB sasa natakiwa nifanyeje ili niweze kuiactivate pia kuhusu suala la kudeposit na kuwithdraw viwango vyake vimekaaje?
Aaaaaah mkuu unataka nipanue bajeti kiongozi sema zaidi nimezoea kutumia icho kiwango mara nyingi napendelea kuset iyo amount as a stake
Ahsante mkuu,Card ya bank inayoruhusu au ipo activated kwa masuala ya online !!
taarifa utachagua
View attachment 942152
kiasi cha kuanzia kudeposite ni buku jero hapo utajaza taarifa pamoja na email yako
ukishajaza itakuderect hapa kwa ajili ya kujaza taarifa zako za bank
View attachment 942153
mfano zaidi wa kadi kama huelewi
View attachment 942154
yajayo yanafurahisha
karibu
Ahsante mkuu,
Ninayo kadi ya benki ya NMB, lakini haipo activated ktk masuala ya Online.
Na hiyo Card master sina mkuu, itakuwaje sasa hapo...?
Ahsante mkuu,
Ninayo kadi ya benki ya NMB, lakini haipo activated ktk masuala ya Online.
Na hiyo Card master sina mkuu, itakuwaje sasa hapo...?
Aiseee, niwe na akaunti mbili tena...?Jaribu kufungua Account labda Uba kama michango ilivyotolewa na mdau void or waweza kwenda Crdb
Punguza hasira mkuu, mbona una maneno makali namna hiyo...?Unaona sasa!! Ushaaambiwa ili uweze ishu za online via banking lazima kadi yako iwe activated!! We kujiongeza hapo unashindwaje kama kadi yako cyo activated!! Mnaacha cheti shule unakuja kubeti hlf kujiongeza kidg tu unashindwaa
Kama kadi yangu haipo activated ktk masuala ya online waweza nipa muongozi mkuu nifanye ili nifanikiwe.Unaona sasa!! Ushaaambiwa ili uweze ishu za online via banking lazima kadi yako iwe activated!! We kujiongeza hapo unashindwaje kama kadi yako cyo activated!! Mnaacha cheti shule unakuja kubeti hlf kujiongeza kidg tu unashindwaa
Mkuu Honesitty, nimekusoma, utazani kuwa huko 1xbet walikuwa wanakula daily kumbe majanga tu.
Sasa waache kubeti.sisi na kampuni za kifara tunakula na mpunga kama kawa on time.
Nenda benki husika wai activateKama kadi yangu haipo activated ktk masuala ya online waweza nipa muongozi mkuu nifanye ili nifanikiwe.
Kuuliza sio ujinga aisee
Punguza hasira mkuu, mbona una maneno makali namna hiyo...?
Nakushauri nenda NMB maana utauliza hata mara 800 mwisho wa siku itakubid urudi kwenye benki uliyofungulia akaunti ukaactivate hiyo kadi, sasa nenda huko maswal yako yote yatapata majibu.Kama kadi yangu haipo activated ktk masuala ya online waweza nipa muongozi mkuu nifanye ili nifanikiwe.
Kuuliza sio ujinga aisee