Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa yeyote aliyefata basi mambo ni motoooooo!! Bet WOOOON!!!!
Screenshot_20181122-062056.jpg
Screenshot_20181122-062036.jpg
Screenshot_20181122-062025.jpg
Screenshot_20181122-062017.jpg
Screenshot_20181122-062011.jpg
 
Kuna kampuni moja inaitwa pigabet ina option nyng kama xbet ila tatzo lao moja tuu kweny ku withdraw pesa inafka ad cku mbili ila kwenye kuweka ipo fasta kama utakuwa na uvumilivu ijarbu wakat tunaendelea kuwasubil kampun yetu xbet
Hii interface yake ni kama MCHEZA bet
 
Wadau nimejaribu kudeposit kwa kutumia mastercard 1500 kwanza nione itakuaje, ila hiyo ndo email niliyorudishiwa na kwa bahati mbaya nimeshindwa kuielewa nimechemka wapi. Wenye kujua haya mambo hebu nitoeni ushamba wa haya mambo wengine lugha ya malkia kuielewa mpaka iwepo serengeti light pembeni[emoji3][emoji3][emoji3]
IMG_20181122_081637_171.jpg
 
Kiongozi leo una upepo hadi raha, tuendelee na moyo huu huu kaka! Nafurahi sana kuona unatukumbuka wanyonge
Aaaah mkuu never mind penye possible nitahakikisha tunapapossiblize wote yassn kama bet ina uhakika basi ni wana wote mlambe shavu dodo nilazima niipost apa ila chonde chonde msifikiri sipigwi no kuna mbwa napigwa kama mbwa koko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Du kumbe na wewe unachezeaga
 
Du kumbe na wewe unachezeaga
Daaah mwamba wee unafikiri kuna mtu ambaye hapigiwi na hawa wabetishaji mzee baba basi kama kuna mwamba aliyekwambia ivyo ujue alikudanganya maana kuna muda unaweza ukaweka stake ukiwa na uhakikavkabisa na opt uliyobiopt lakini timu pinzani ikapinfua meza kibabe sasa apo si unapigwa kipigo cha Mbwa koko mzee father!!
 
We jamaa stake zako [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mfano leo kuanzia saa kumi alffajiri mpka saa moja asubuhi nimetengeneza sh laKi mbili kwa hizi hizi stake je hii ela ni ndogo boss within two hrs nimetengeneza iyo amount na ivi vistake vyangu alafu nafunga mahesabu till jion au baadae muda wowote nitakao jiskia kuingia kazini tena bet ni ujipimie mwamba sio ukamie kama vile unatafuta cha kwanza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3] ukikamia betting basi kila siku ni lazima rangi nyeusi zikutembelee kwa profile yako mzee dingi!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mwamba stake za laki nne mi nitaweza kwel? Nilikuwa nabet naishia stake ya 10000 mrusi anaamua kuichukua kiulainiiii saiz nmepumzka kwanza aiseee [emoji16][emoji16]

Back
Top Bottom