Mzee baba isu ni kwamba mpaka nisave izo macode mimi mwenyewenitakuta odds zangu nilizozichagua zimeshaapungua kinoma so ndugu huoni wote tutakuwa tunapoteza mzee baba mi nadhani nji rahisi ni wewe kuwa active alafuuwe fasta mkeka ukipostiwa umu basi unawahi fasta na unajilipua alafu kingine muache dharau mtu anapost mkeka anakuwa anajali ili watu wote tupate [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]watu wote sasa wewe huufati alafu mimi nikija kupost izo green zangu wewe unanimind[emoji38][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23] wakati nawe pia nakuwa nikmekupa nafasi ya kupata izo green[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee baba tuwe active mtu anapost mkeka wewe ufate tu chief hujui mwamba anakuwa amefanya analysis gani na kwa kiasi gani bob[emoji23][emoji23][emoji23]