Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

HABARI ZA ASUBUHI WADAU?

Naomba kufahamu kana M-pesa MasterCard inaweza ku-deposite na ku-withdraw kwenye 1×bet?

Na Kama inawezekana,je,kwa sis tuliofanya registration hapo awali kwa namba ya simu unafanya nn?
 
Pesa ya saa saba mchana, First half over 0.5/Over 1. Second half over 0.5/Over 1. Tukutane dirishani.
Screenshot_20181122-115055~2.jpeg
 
HABARI ZA ASUBUHI WADAU?

Naomba kufahamu kana M-pesa MasterCard inaweza ku-deposite na ku-withdraw kwenye 1×bet?

Na Kama inawezekana,je,kwa sis tuliofanya registration hapo awali kwa namba ya simu unafanya nn?
HAPANA,nenda benki nunua prepaid card yako fanya miamala.
 
Wadau nimejaribu kudeposit kwa kutumia mastercard 1500 kwanza nione itakuaje, ila hiyo ndo email niliyorudishiwa na kwa bahati mbaya nimeshindwa kuielewa nimechemka wapi. Wenye kujua haya mambo hebu nitoeni ushamba wa haya mambo wengine lugha ya malkia kuielewa mpaka iwepo serengeti light pembeni[emoji3][emoji3][emoji3] View attachment 942354
Hakikisha una salio la kutosha pia kwa baadhi ya benki miamala inatakiwa iwe kuanzia dola 1.
 
Wadau nimejaribu kudeposit kwa kutumia mastercard 1500 kwanza nione itakuaje, ila hiyo ndo email niliyorudishiwa na kwa bahati mbaya nimeshindwa kuielewa nimechemka wapi. Wenye kujua haya mambo hebu nitoeni ushamba wa haya mambo wengine lugha ya malkia kuielewa mpaka iwepo serengeti light pembeni[emoji3][emoji3][emoji3] View attachment 942354
Online purchase must be activated.Good lucky
 
Aaassh kawaida mkuu ila usisahau pia kuna siku mrusi ananiumiza kweli kweli joh ivyo mambo ni kula uliwe
Najua hio mambo,siku hazifanani kuna siku gemu zinakuwa hazieleweki kila ukigusa unapasuka ila nadhani kwenye betting pia inabidi mtu uwe na strategies za kukuhakikishia kila siku hukosi kulaza faida hata kama utapigwa!
 
Wadau salama...Leo siku imekaa vizuri inanukia pesa nyeupe na nyekundu...kazi kudownload tuu
 
Back
Top Bottom