Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mrusi baada ya kubana, safari hii kaamua kujilipua na mechi za Tanzania.
Screenshot_20181122-163544~2.jpeg
 
Kila nikiwapigia hawa wajinga wa M Lipa ili niongee nao kuhusu 1xbet hawapokei simu yangu,,,,,,,,sijui watarudi lini kwa payments mobile,,,,,,,,,tunataabika wengine[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321]
Tehtehteh malalamiko yalizidi watu walikuwa wanalialia sana kuwa pesa zao hazifiki. Mrusi naona kaamua isiwe tabu, labda anafanya maboresho. Sasa hivi ni mwendo wa Visa card.
 
Yahn ni mwendo wa kukomaa na mrusi ili utoe kila wakeend mzgo na mtji ubaki maana min amount yake ya kutoa sio kitoto
 
Wadau hivi hii huduma ya kutransefer to friend kwa, 1xbet inakubali. Mi nikitaka kufanya inaniambia "transfer temporary restricted"
Kwa aliyefanikiwa msaada
 
Back
Top Bottom