Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 5,609
- 10,491
M pesa Master card ni kwa ajili ya online purchases tu!!HABARI ZA ASUBUHI WADAU?
Naomba kufahamu kana M-pesa MasterCard inaweza ku-deposite na ku-withdraw kwenye 1×bet?
Na Kama inawezekana,je,kwa sis tuliofanya registration hapo awali kwa namba ya simu unafanya nn?