ben milazo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 995
- 678
shukrani mkuu ngoja nianze kufuatilia huu uzi naamin sitatoka mtupu1exbet mkuu indownload from google then fanya yako karoibu sana
shukrani mkuu ngoja nianze kufuatilia huu uzi naamin sitatoka mtupu1exbet mkuu indownload from google then fanya yako karoibu sana
mkuu taweza kwa nini nishindwe akati na nyie ndugu zangu mpo na ushirikiano kama wote !Ila wewe mtu wa milazo mabalaa ya kubet utayaweza kweli mkuu???
Deposit Tsh 1 na withdraw Tsh 10000.Betpawa kiwango cha kuanzia tsh 1-
karibu jfWadau leo ni siku ya tano 1xbet wameondoa option ya kudeposit na kuwithdraw kwa mitandao ya voda tigo na airtel tatizo ni nini?
Thankskaribu jf
Hahahaha aiseeekaribu jf
Hahaahah...Dadeki, Mwamba wa Kaskazini[emoji2]Mzee baba isu ni kwamba mpaka nisave izo macode mimi mwenyewenitakuta odds zangu nilizozichagua zimeshaapungua kinoma so ndugu huoni wote tutakuwa tunapoteza mzee baba mi nadhani nji rahisi ni wewe kuwa active alafuuwe fasta mkeka ukipostiwa umu basi unawahi fasta na unajilipua alafu kingine muache dharau mtu anapost mkeka anakuwa anajali ili watu wote tupate [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]watu wote sasa wewe huufati alafu mimi nikija kupost izo green zangu wewe unanimind[emoji38][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23] wakati nawe pia nakuwa nikmekupa nafasi ya kupata izo green[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee baba tuwe active mtu anapost mkeka wewe ufate tu chief hujui mwamba anakuwa amefanya analysis gani na kwa kiasi gani bob[emoji23][emoji23][emoji23]
Ww tulia bana ulale atutaki kelele za xbet
How, Maelezo please.HAPANA,nenda benki nunua prepaid card yako fanya miamala.
Jackpot yao million 200 kwa shilingi mia (100) ila mechi 17 zawad ukipatia kuanzia game 13Hawa beti pawa sio wa kispoti hawaachi kitu wanapita hadi na sh 1 aseee.....mwnye kampuni bonge la mchumi
Nenda benki mfano Exim waambie unahitaji prepaid card kisha utapata maelezo yote ukiwa huko.How, Maelezo please.
Cha ngapi mkuuWazee wa kubeti usiku huu nalala raha mustarehe maana nimemkula muhindi kwa mara nyingine
Cha nneCha ngapi mkuu