Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play iyo wadau ruka nayo ukita uza au subir mpunga wako
Screenshot_20181123-093628.jpg
 
Mkuu hiv betpawa inafanya kaz Tanzania??,mbna imenigomea asee inaonesha ni kwa watumiaji wa Kenya tu?
hawa jamaa siwaelewi eti jackpot unacheza kwa tsh100 kwel
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iyo baet pawa haina tofauti na akina biko akina sports pesa haina jipya ni ya kitapel tapel tu compared na 1xbet
Betpawa wanakuchagulia kubeti na si wewe kuchagua,
Mi naona matapeli tu hamna jipya,

Mfano,Total goals over/ under, hawana option ya over 1,over 2 wala over 3, wao wana over 1.5,2.5 na 3.5 nk.

Hata double chance ya 1X ama 12 na X2 hawaweki sometime.
Wa nini sasa.
 
Iyo baet pawa haina tofauti na akina biko akina sports pesa haina jipya ni ya kitapel tapel tu compared na 1xbet
Sawa mkuu, ila 1xbet ndio hiyo inazngua kwa kufanya malipo sasa tufanyaje.!?. Binafsi kikubwa nilichopenda kwa hawa betpawa ni bonus yao tu mkuu yaani ukiwa games kuanzia 10 bonus 50% na ukiweka games kuanzia 20 bonus 100%
 
[emoji459][emoji459][emoji459][emoji459][emoji459][emoji459][emoji459][emoji459][emoji459][emoji459]

23/11/1811:00am
Canberra Capitals Women - Melbourne Boomers Women
Basketball / Australia WNBL
1X2 - 1H (2)
1.86

23/11/1812:05pm
Rizing Fukuoka - Niigata Albirex BB
Basketball / Japan B League
1X2 - 1H (2)
1.25

23/11/1812:05pm
Yokohama B-Corsairs - Ryukyu Golden Kings
Basketball / Japan B League
1X2 - 1H (2)
1.34

Overall odds:- *3.2+*


[emoji91][emoji91] *IMMA FABO* [emoji767] [emoji91][emoji91]
 
Kwa waliofuata dirisha linawahusu kafanyeni yenu BET WOOOOOOOON!!!!
Screenshot_20181123-095322.jpg
 
Kwa aliyelifata ili jamvi mamake linatia jamba jamba ya kufa mtu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20181123-102629.jpg
 
Kwa aliyefata ili jamvi lakutia jamba jamba basi dirisha lina muhusu. BET WOOOOOOOOOOON!!!
Screenshot_20181123-102910.jpg
Screenshot_20181123-102629.jpg
 
[emoji459][emoji459][emoji459][emoji459][emoji459][emoji459][emoji459][emoji459][emoji459][emoji459]

23/11/1811:00am
Canberra Capitals Women - Melbourne Boomers Women
Basketball / Australia WNBL
1X2 - 1H (2)
1.86

23/11/1812:05pm
Rizing Fukuoka - Niigata Albirex BB
Basketball / Japan B League
1X2 - 1H (2)
1.25

23/11/1812:05pm
Yokohama B-Corsairs - Ryukyu Golden Kings
Basketball / Japan B League
1X2 - 1H (2)
1.34

Overall odds:- *3.2+*


[emoji91][emoji91] *IMMA FABO* [emoji767] [emoji91][emoji91]
Imma fabo is back [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aliyefat na huu pia basi dirisha linamuhusu japo mi niliuza kwa hasara coz nilishindwa kuvumilia yale mapresha BET WOOOOON
Screenshot_20181123-103756.jpg
 
Back
Top Bottom