Hatutofautiani mtizamo mkuu. Sijaona kampuni ya kunishawishi nayoweza kubet inplay kama 1xbetSina jinsi ngoja niwe mpenz mtazamaji ad xbet watakapokuwa sawa
Mtu unacheza match moja unaweka 5000 unakula elfu 8
Mbona pesa ndogo sana hii
Tatizo ni Uoga tuEndelea kuweka 5000 ule 100000 mwisho wa cku tutajua
Mkuu hii ni Ofisi...kuna kufunga hesabu then utajua kwanini Elfu tano unakula elfu nane.....hizo elfu tatu majumuisho yake ndio kilio cha Kanji na Mjomba Mrusi....'huwezi hii kazi Kabangue Korosho na Wajeda"[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Mtu unacheza match moja unaweka 5000 unakula elfu 8
Mbona pesa ndogo sana hii
Utaendelea kumneemesha muhindi na mzungu daily😂😂 kuna kitu ilipostiwa humu ya how to create 1 million kwa 10 days itafute utafanikiwa na uache tamaaTatizo ni Uoga tu
Unajilipua team 5 unaweka 5000 unapata Mzigo wa maana
Tatizo ni Uoga tu
Unajilipua team 5 unaweka 5000 unapata Mzigo wa maana
Hahahah huyu jamaa anahisi mrusi katutengea matako tufokonyoe tu? Huku ni kuparangana bila timing we ndio unachezea mkuyege wa PUTIN!Mkuu hii ni Ofisi...kuna kufunga hesabu then utajua kwanini Elfu tano unakula elfu nane.....hizo elfu tatu majumuisho yake ndio kilio cha Kanji na Mjomba Mrusi....'huwezi hii kazi Kabangue Korosho na Wajeda"[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee nafikiri jamaa anajua mambo ni simpo kiasi hichoHahahah huyu jamaa anahisi mrusi katutengea matako tufokonyoe tu? Huku ni kuparangana bila timing we ndio unachezea mkuyege wa PUTIN!
Hesabu inafanya kazi popote....jamaa inawezekana hats kujumlisha na kutoa ni tabu...Hahahah huyu jamaa anahisi mrusi katutengea matako tufokonyoe tu? Huku ni kuparangana bila timing we ndio unachezea mkuyege wa PUTIN!
Sema nikuonyeshe sio niweke hizi ndio zangu hakuna kuiogopa bettingWeka tuone baadae tuone matokeo yake
Sawa ila utakula 3000 lakini ndogo sanaMkuu hii ni Ofisi...kuna kufunga hesabu then utajua kwanini Elfu tano unakula elfu nane.....hizo elfu tatu majumuisho yake ndio kilio cha Kanji na Mjomba Mrusi....'huwezi hii kazi Kabangue Korosho na Wajeda"[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Sure mkuu 1xbet itabaki kua the best,hapa nilipo nataka kesho niende bank nikaactivate kadi yanguHatutofautiani mtizamo mkuu. Sijaona kampuni ya kunishawishi nayoweza kubet inplay kama 1xbet
Ukichezea umependa tu hapa muhindi analia karibu mara 4 kwa wiki hizo siku tatu ndio ananiotea lakini haina maana namkula sanaHahahah huyu jamaa anahisi mrusi katutengea matako tufokonyoe tu? Huku ni kuparangana bila timing we ndio unachezea mkuyege wa PUTIN!
Yote sawa...Sawa ila utakula 3000 lakini ndogo sana
Wazee wa kujilipua kama mimi hakuna kuogopa na muhindi analia vilevile
Kuna raha kama unafatilia team maana muhindi mjanja sana[emoji23][emoji23][emoji23]aisee nafikiri jamaa anajua mambo ni simpo kiasi hicho
Mbna huweki buku tano kama ulivyosema?Cheki hiyo muhindi kalia jana nimempa jero tu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
View attachment 943681
Mzee baba wote tuwe na mawazo ya aina moja kweli tutaweza kuijenga nchi mkuu ni lazima wawepo seremala ni lazima wawepo bodaboda ni lazima wawepo manesi, madokta na wengine ili ncji iende ni lazima kuwa na mawazo tofauti tofaut yaaani kuwe na nyie wenye kuweka madau makubwa kwenye jamvi na matimu kibaoooooooooo alafu mkasubiria lisa na nusu ndo muupate huo mpunga wenu alafu lazima tuwepo na sisi wenye kuweka vistake vidogo alafu tukatumia nusu saa kutengeneza mara mbili ya ela unayoitengeneza wewe kwa lisaa limoja na nusu mkuu ndo maisha yanakwenda ivyo!!!!Ukichezea umependa tu hapa muhindi analia karibu mara 4 kwa wiki hizo siku tatu ndio ananiotea lakini haina maana namkula sana