ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,261
Mzee baba kwa vile wewe umejifanya ni mbishi nimerudi tena kwako ili kukuonyesha kwamba umu ndani mtu anafanya kitu kwa malengo yake mara ya mwisho mimi nilijibu comment yako alafu nikaingia mzigoni au siyo na baada ya dkk 45 nimevuna haya yafuatayo na kiasi kifuatacho hiki kiasi wewe ilikuchukua zaidi ya masaa sita kukitengeneza mimi nimetumia dkk 45 kwa stake za 5000 na kula izo faida kidogo tafakari kichwani uone kipi ni kipi alafu nakuekea mikeka apa chini ili uhesabu mwenyewe usije sema ooh jamaa muongo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanangu mtanisameehe sikuweza itupia umu coz nilitaka kumprove wrong huyu jamaa yeue na mawazo yake View attachment 943828View attachment 943829Cheki hiyo muhindi kalia jana nimempa jero tu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
View attachment 943681