Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

OK NASHEA NA NYINYI WAKUU
ODDS 1.9+
HIZI HAPA KWA SINGLE BET.
KAMA UNAWEZA INYATIE.
NTAKUJA KUWAPA MATOKEO.
Screenshot_20181123-150550.jpeg
 
Mzee baba wote tuwe na mawazo ya aina moja kweli tutaweza kuijenga nchi mkuu ni lazima wawepo seremala ni lazima wawepo bodaboda ni lazima wawepo manesi, madokta na wengine ili ncji iende ni lazima kuwa na mawazo tofauti tofaut yaaani kuwe na nyie wenye kuweka madau makubwa kwenye jamvi na matimu kibaoooooooooo alafu mkasubiria lisa na nusu ndo muupate huo mpunga wenu alafu lazima tuwepo na sisi wenye kuweka vistake vidogo alafu tukatumia nusu saa kutengeneza mara mbili ya ela unayoitengeneza wewe kwa lisaa limoja na nusu mkuu ndo maisha yanakwenda ivyo!!!!
Mimi nacheza team kwa saa
Mfano kama kuna ambazo zinacheza saa 10 nazichukua hizo zote Naanza kuzipigia hesabu
 
  • Thanks
Reactions: Bal
Mzee baba kwa vile wewe umejifanya ni mbishi nimerudi tena kwako ili kukuonyesha kwamba umu ndani mtu anafanya kitu kwa malengo yake mara ya mwisho mimi nilijibu comment yako alafu nikaingia mzigoni au siyo na baada ya dkk 45 nimevuna haya yafuatayo na kiasi kifuatacho hiki kiasi wewe ilikuchukua zaidi ya masaa sita kukitengeneza mimi nimetumia dkk 45 kwa stake za 5000 na kula izo faida kidogo tafakari kichwani uone kipi ni kipi alafu nakuekea mikeka apa chini ili uhesabu mwenyewe usije sema ooh jamaa muongo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanangu mtanisameehe sikuweza itupia umu coz nilitaka kumprove wrong huyu jamaa yeue na mawazo yake View attachment 943828View attachment 943829View attachment 943830View attachment 943831View attachment 943832View attachment 943833View attachment 943834View attachment 943836
Je faida ulioitengeneza hapo inafika elfu 60 niliyoitengeneza mimi?
Na muda sio mrefu nitakuonyesha mkeka mwingine leo nimeweka buku naelekea kula elfu 70 za muhindi
 
Acha sifaaa wht for???ukishamuonyeshaa itasaidiaa nn??hebu acheni utoto it doesnt make sense at all mbona kuna watu wanakukaa helaa nyingi tu na wakeep it low....be humblee na.muache utoto hivi wakina wimicky na void wakiamuaa kufanya mnayofanyaa itakuwaje??we mangi wa wapi unakuwa mshambaa aiseee???cheza unavyojuaa bt acha sifa

Hii kesi sio yako unaingilia kwa nini
 
Tupieni mikeka watu wa bet hizo blah blah waachieni wanawake mashindano ambayo hayamake sense......
 
Back
Top Bottom