Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,299
- 765
Kwa wale ambao walikuwa wanatumia 1xbet kabla kama mm nimetest premier bet naona wanajitahidi kuliko kampuni zingine za bongo. Ingawaje odds zao zipo chini kulinganisha na 1xbet.
ebu achana na uyo uku Brooklyn Nets anapigwa tu vp quarter ya 3 tunafanyajeBro wewe ni mgumu sana kuelewa nimetengeneza sh 30k kwa muda wa dkk 45 so count siku nzima ambayo wewe unaitumia kutengeneza sh 60k ina dkk 45 ngap yani ziko dkk 45 ngap ili kutimiza siku nzima ukishajua idadi yake zizidishe mara iyo 30k then rudi apa ubwabwaje, maana sion logic yako katika huu ubishani wako ni ipi kwamba unipangie amount ya kustake ama hoja yako ni ipi kwa apa braza?
By the way sharing is caring mzee baba wana pia wangependa kuifata iyo mikeka yako ya ngumu kubeza ya kustake jero ukala milioni ambayo unatusua kila siku ivyo fanya jambo moja la msingi plz share mikeka yako umu ndani hasa hii ya ngumu kumeza unayokula kila siku ili na wana pia tuifate na tuweze kutusua kama wewe yani tuweke jero tuibuke na million [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]mzee wa kazi maana sote tunapenda unafuu ivyo huoni kama utakuwa umetusaidia sana kwa kutupunguzia gharama za kubetia mkuu?
Fanya ivyo ili tuicopy na kuipaste hasa hii unayotia jero na ukaibuka na milion ili nasi tutie jero na tuibuke na milion mzee.
Jf ni pana mkuu kama mawazo yako ni kubeti tu endeleaJamaaani huyu mwenzetu kumbe yumo hata kwenye siasa, mmmh aachene na siasa hazina tija.View attachment 944107
Mmoja umetiki tayari elfu 70Bro wewe ni mgumu sana kuelewa nimetengeneza sh 30k kwa muda wa dkk 45 so count siku nzima ambayo wewe unaitumia kutengeneza sh 60k ina dkk 45 ngap yani ziko dkk 45 ngap ili kutimiza siku nzima ukishajua idadi yake zizidishe mara iyo 30k then rudi apa ubwabwaje, maana sion logic yako katika huu ubishani wako ni ipi kwamba unipangie amount ya kustake ama hoja yako ni ipi kwa apa braza?
By the way sharing is caring mzee baba wana pia wangependa kuifata iyo mikeka yako ya ngumu kubeza ya kustake jero ukala milioni ambayo unatusua kila siku ivyo fanya jambo moja la msingi plz share mikeka yako umu ndani hasa hii ya ngumu kumeza unayokula kila siku ili na wana pia tuifate na tuweze kutusua kama wewe yani tuweke jero tuibuke na million [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]mzee wa kazi maana sote tunapenda unafuu ivyo huoni kama utakuwa umetusaidia sana kwa kutupunguzia gharama za kubetia mkuu?
Fanya ivyo ili tuicopy na kuipaste hasa hii unayotia jero na ukaibuka na milion ili nasi tutie jero na tuibuke na milion mzee.
Wewe unatudanganya, tupia mkeka ulio win hapaJf ni pana mkuu kama mawazo yako ni kubeti tu endelea
Wanasema zimeondolewa kwa muda tu kwaajili ya maboresho zitarudishwa so soonWTF..mobile system 1xbet zimeondolewa??!!;..Kama ni haya makampuni ya bongo ndo yameleta figisu basi yajitafakari..ovyo kabisa
Sasa ngoja tule shule ya cryptocurrency tuwe na bitcoin wallet tuendelee kugamble kama kawaida..
Baba uwe unaishare bhasi tupige pesaaMmoja umetiki tayari elfu 70
Bado nasubiria miwili
Unaboaaa kishenzi mwanangu kama umeshida unataka upewe tuzo au..we mchaga wa wapi.mshambaa hivyo aisee??una majigambo ya wanawake saaanaa ....kinda boring...kwani ukishindaaa kuna mtu kakuomba mgao au??Mmoja umetiki tayari elfu 70
Bado nasubiria miwili
Hana lolote dramaa tu kama wadada wa instagramBaba uwe unaishare bhasi tupige pesaa
Kaka hebu acha kubishana na huyu bwabwa! Atakupotezea muda tu bure uzuri sie tunakuelewa humu usijiaribie wasifu! Tutumie kazi mkuu tupate ya kulalia!Bro wewe ni mgumu sana kuelewa nimetengeneza sh 30k kwa muda wa dkk 45 so count siku nzima ambayo wewe unaitumia kutengeneza sh 60k ina dkk 45 ngap yani ziko dkk 45 ngap ili kutimiza siku nzima ukishajua idadi yake zizidishe mara iyo 30k then rudi apa ubwabwaje, maana sion logic yako katika huu ubishani wako ni ipi kwamba unipangie amount ya kustake ama hoja yako ni ipi kwa apa braza?
By the way sharing is caring mzee baba wana pia wangependa kuifata iyo mikeka yako ya ngumu kubeza ya kustake jero ukala milioni ambayo unatusua kila siku ivyo fanya jambo moja la msingi plz share mikeka yako umu ndani hasa hii ya ngumu kumeza unayokula kila siku ili na wana pia tuifate na tuweze kutusua kama wewe yani tuweke jero tuibuke na million [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]mzee wa kazi maana sote tunapenda unafuu ivyo huoni kama utakuwa umetusaidia sana kwa kutupunguzia gharama za kubetia mkuu?
Fanya ivyo ili tuicopy na kuipaste hasa hii unayotia jero na ukaibuka na milion ili nasi tutie jero na tuibuke na milion mzee.
Yaan hapo ndo ankai anaponiboaaa asimjibuKaka hebu acha kubishana na huyu bwabwa! Atakupotezea muda tu bure uzuri sie tunakuelewa humu usijiaribie wasifu! Tutumie kazi mkuu tupate ya kulalia!
haha ..,et yule andazi....1. Nimekwenda kufungua akaunti equity kama wadau walivyoshauri ili kwenda sambamba na 1x
2. Yule andazi niliyemkuta nilimweleza kabisa airuhusu kadi kutumika kwenye mtandao akaniambia hii ni moja kwa moja kadi yetu inakubali huduma zote za e payment
3. Nilishugulikiwa tuu muda mchache nikawa nimeondoka
4. Tangu asubuhi kila nikijaribu kulipa inakwenda mpaka mwisho lakini ninapata ujumbe kuwa rejected wrong card number
5. Ninachohisi hakunielewa na hakuruhusu kadi hiyo na kesho namshona tena
Anakuwa anampa kiki za kiduanzi mtu mwenyewe fara tu!Yaan hapo ndo ankai anaponiboaaa asimjibu
Anakuwa anampa kiki za kiduanzi mtu mwenyewe fara tu!
Nimetupia wenzako povu linawatoka tu situpii tenaWewe unatudanganya, tupia mkeka ulio win hapa