Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Oi in play iyo wadau rukeni nayo iko kuzuri mazee@Extrovet
Screenshot_20181123-224651.jpg
 
Ahaa mm nilitaka kutoa pesa ikafka ad cku mbili nikiwatumia sms awajibu afu pia awana namba ya castama care nikaamua ni refund ela yang kweny account nikaitumia ad nilivyoliwa nikawapotezea
 
Nani ashawahi kutoa pesa kutoka kwa pigabet, nimetoa pesa tangu saa 1 jioni mpaka sasa sijaipata. Mbaya zaidi hawana namba za simu, meseji hawajibu, mails hawajibu dah
Ahaa mm nilitaka kutoa pesa ikafka ad cku mbili nikiwatumia sms awajibu afu pia awana namba ya castama care nikaamua ni refund ela yang kweny account nikaitumia ad nilivyoliwa nikawapotezea
Ndo ivyo wanazngua sana awa jamaa
 
Mi nmecheza betpawa nilikula za uso kama 30k ss iv ndo namalizia kuludisha ela yangu
hahaha! Mimi jana uck nilikuwa nimeanza kubetia basket superbet tangu exbet imeondoa payment method basi nilikuwa nina 4K nikatupia weee acha nile za uso dabo dabo duu mpaka usingizi ukaja
leo asubuhi nikasema skubali nikatupia bando nikaweka mechi moja ya basket weeeh! hapa navyo kwambia nimemtembezea kichapo mpaka mkeka mmoja nimewin mpaka sasa hajanitumia hela *****!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui kwann sina imani na hizo bet nyingine miki xbet tu ndo naiamini

Back
Top Bottom