Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yeah.. Unapoichukua inakuwa iko activated tayari ila hawafanyi transactions kutoka au kwenda kwenye betting companies.. Wanasema ndo utaratibu wao.
Mimi hapa nimebanana na kazi tu ila nataka niibuke benki nikaactivate mambo ya online purchase maana naona hakuna betting company nyingine ya kunishawishi zaidi 1xbet.
Halafu nina swali kidogo kama utakua na mwanga, hawa Equity bank akaunti zao zipo activated tayari na mambo haya ya kulipia online?
 
kaka mimi ni mgeni katika uzi huu naomba kujua hiyo mikeka uliyoshea ni kampuni gan, nataka nianze kukufata. Nimejifunza kitu kwako. Mdogo mdogo ndo mwendo.
1XBET ndo kampuni ninayotumia mzee ingia google uidownload bob!!!
 
takataka za makampuni ya kibongo
IMG_20181124_081053_816.JPG
 
kuna mdau alisema kwa mastercard ni around 13,500 kama withdraw charges na huruhusiwi kutoa chini ya 100,000 ila kwa paypal kiwango cha kutoa minimum ni 30,000 kwahio hapo utaona pia lazma uwe unafanya serious betting za malaki! Sio za buku buku ukitaka kutumia Card na malipo yake sio instant lazima kuna muda wa kusubiri taratibu za kibenki zifanyike! Mimi nina Visa Card ila sijajaribu ni ya CRDB
Hivi kutoa kwa card siyo magumashi kma m lipa
 
Ushauri wangu: ukishakuwa na kadi ya benki (mf. Equity bank au banc abc) fungua pia wallet(mf. Skrill) zen wallet yako ilonk na kadi yako ya bank. Kwa hiyo ka unataka kudeposit utahamisha hela kutoka benk kwenda wallet yako(skrill) zen to ur betting campany.

Kwa sababu wakat mwingine mabenk system zake zinagoma kutuma hela kwe makampuni ambayo yanafanya gambling/kubashiri.
 
Ushawahi tumia skrill
 
Back
Top Bottom