Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

>> >> >> >> > The
>> >> >> >> > funds
>> >> >> >> will
>> >> >> >> > be credited as soon as the
problem is solved. Our specialists
>> are >> >> >> >> > working
>> >> >> >> > on the issue. We apologize
for the inconvenience.
>> >> >> >> >
>> >> >> >> > Best regards,
>> >> >> >> > 1xBet Customer Support Team.
 
Mkuu maswali mawili muhimu kwa Uzoefu wako;

1/ Inachukua muda gani kutoa hela Skrill kwenda Account yako ya benki? Nimeona comments Mitandaoni ni siku 5 za kazi..
Tujiandae kabisa Manake tulizoea mobile payments fasta tu.

2/ Makato Yao yapoje Mfano kutoa na kuweka hela Skrill..Yanavumilika?
Inshort kwa style ya kutegemea Skrill na Bank payments kufanya miamala, ni aheri ukawa unabeti na kukuza account ku draw iwe ni siku maalum! Maybe labda unabeti week nzima ila kuzivutia hela skrill kisha benki iwe ni siku ya Alhamisi ya kila week hapo mnaeza mkafaulu ila ile ya kutoa hela kila siku lazma muisahau! Na hapo hela watakuwa wameipurura kinyama mpaka ukaivute ATM kama ni laki 2 basi itakuwa laki na 70 hapo!
 
Yaaah mara nyingi naonaga wakija kazini kwetu kufanya promotion ya bidhaa yao basi wanasemaga card zao zinakuwa activated automaticaly kwa ajili ya online transactions mkuu
Kumbe? Ngoja nikaiwekee hela nione kama mambo yataenda byeeee niendeleze mapambano
 
kuna mdau alisema kwa mastercard ni around 13,500 kama withdraw charges na huruhusiwi kutoa chini ya 100,000 ila kwa paypal kiwango cha kutoa minimum ni 30,000 kwahio hapo utaona pia lazma uwe unafanya serious betting za malaki! Sio za buku buku ukitaka kutumia Card na malipo yake sio instant lazima kuna muda wa kusubiri taratibu za kibenki zifanyike! Mimi nina Visa Card ila sijajaribu ni ya CRDB
Hata ukisema kuhamishia kwenye simu bado minimum amount ni hiyo hiyo 100k?
 
Hahah ila sasa si lazima ufungue Skrill Account au wao wanapokea malipo direct toka kampuni za betting
Ninayo ya Equity nilikua siitumii kivile ngoja niipe uhai kwa ajili ya fungu la 1xbet tu [emoji3][emoji3]
 
Ushauri wangu: ukishakuwa na kadi ya benki (mf. Equity bank au banc abc) fungua pia wallet(mf. Skrill) zen wallet yako ilonk na kadi yako ya bank. Kwa hiyo ka unataka kudeposit utahamisha hela kutoka benk kwenda wallet yako(skrill) zen to ur betting campany.

Kwa sababu wakat mwingine mabenk system zake zinagoma kutuma hela kwe makampuni ambayo yanafanya gambling/kubashiri.
Daah kweli hizi betting zimetufanya watu tuanze kupata maelimu makubwa makubwa ambayo wala nilikua sitegemei kuyajya na kuyatumia
 
Akaunt ya skrill lazima uverify... Kuna njia 2 ambazo waweza tumia kuverify

1. Wanakata kiasi fulani cha hela kwe kadi yako zen watairudisha wakisha verify.(ni uhakika wanarudisha)

2. Unatakiwa uwatumie scanned document yoyote kama bill ya maji, umeme, benk statement n.k

Hapo

Hapo wallet yako itakuwa active. Na utaitumia kwe mishe yako yooooote kwa uhuru kabisa... Wapo vizuri sana.
Haya ndo mambo ya maana sasa wabongo tunatakiwa tujifunze sio kushadadia maumbea ya insta tu [emoji16][emoji16]
 
Na jamaa walivyokuwa wapuuzi vitu essential kama hivi vinavyogusa jamii moja kwa moja hawashughuliki navyo kabisa! Ukiimarisha uchumi wa watu wa chini nchi inaweza ku progress haraka sana kuliko kushughulika na miundo mbinu 80% kwenye kila budget! Sijui wachumi wetu wanawaza nini!
Sio wachumi kiongozi, sema wanasiasa! Ujue mambo mengi sana ya msingi yanafanyiwa maamuzi kwa maslahi ya kisiasa na sio kwa ajili ya future ya watu wote
 
Ushauri wangu: ukishakuwa na kadi ya benki (mf. Equity bank au banc abc) fungua pia wallet(mf. Skrill) zen wallet yako ilonk na kadi yako ya bank. Kwa hiyo ka unataka kudeposit utahamisha hela kutoka benk kwenda wallet yako(skrill) zen to ur betting campany.

Kwa sababu wakat mwingine mabenk system zake zinagoma kutuma hela kwe makampuni ambayo yanafanya gambling/kubashiri.
1. Aisee watu waliotangulia kuelewa hizi huduma wanatoa taarifa nusu nusu. Kuna mdau alitoa information kuwa equity nao wapo poa. Hivyo nilifungua account yao na nikawaambia waruhusu online transaction wakasema kadi yao ipo poa ndani ya dakika kadhaa. Sasa kila nikijaribu kudepost nafuata taratibu zote, mwisho wa siku pesa haiendi ujumbe nanaotumiwa ni kuwa wrong card number. Sasa nimefunguka kuwa kwenye haya makampuni ya kubashiri benki inaogopa kutuma fedha jambo ambalo watu hawakufafanua. Inabidi sasa niitafute hiyo care of nijiunge na skrill halafu nirudi tena equituy niwaambie wa link. Tofauti na hapo naondoa fedha zangu na kuvunja vunja kadi hii.
 
Mdau,
Hata kama utatoa fedha zote bado hutozimaliza zote kwenye account yako, kuna kiasi kitabaki chakulinda account.
Kwahyo ukithubutu tu kuivunja kadi, basi tambua kwamba kijihela cha kulindia account,nacho utakivunjiamo.
 
1. Aisee watu waliotangulia kuelewa hizi huduma wanatoa taarifa nusu nusu. Kuna mdau alitoa information kuwa equity nao wapo poa. Hivyo nilifungua account yao na nikawaambia waruhusu online transaction wakasema kadi yao ipo poa ndani ya dakika kadhaa. Sasa kila nikijaribu kudepost nafuata taratibu zote, mwisho wa siku pesa haiendi ujumbe nanaotumiwa ni kuwa wrong card number. Sasa nimefunguka kuwa kwenye haya makampuni ya kubashiri benki inaogopa kutuma fedha jambo ambalo watu hawakufafanua. Inabidi sasa niitafute hiyo care of nijiunge na skrill halafu nirudi tena equituy niwaambie wa link. Tofauti na hapo naondoa fedha zangu na kuvunja vunja kadi hii.

Hapo kwenye red sidhani kama kuna haja ya kurudi tena benki kwa ajili ya kukulink na huyo mtu wa kati kwa jinsi nilivoelewa maelezo ya mdau alietoa hili somo. Nilichoelewa ni kwamba huyo mtu wa kati anakua kama mpesa au tigo pesa yaani wewe unahamishia kimpunga chako toka benki kwenda huko kwa hao skrill then ikashafika ndo utaifowadi toka skrill kwenda 1xbet sasa. Naamini mdaubalimaanisha ivo na hapo inakuwa ni sawa kama ambavyo ungehamisha salio kutoka kwenye akaunti yako ya benki kwenda kweny akaunti yako ya simu kisha kuipeleka huko 1xbet, kitu ni kile kile sema middle man ndo anabadilika
 
Back
Top Bottom