Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,434
- 4,256
Una withdraw vp... Maana mm access ya withdraw sina, wananiambia hadi ni verify account, na usalama wake upo vipiNdiyoo, sana tuu.
Una withdraw vp... Maana mm access ya withdraw sina, wananiambia hadi ni verify account, na usalama wake upo vipiNdiyoo, sana tuu.
Pay pal vipi in kubari kutoa nimewahi tumia kulipiaUshauri wangu: ukishakuwa na kadi ya benki (mf. Equity bank au banc abc) fungua pia wallet(mf. Skrill) zen wallet yako ilonk na kadi yako ya bank. Kwa hiyo ka unataka kudeposit utahamisha hela kutoka benk kwenda wallet yako(skrill) zen to ur betting campany.
Kwa sababu wakat mwingine mabenk system zake zinagoma kutuma hela kwe makampuni ambayo yanafanya gambling/kubashiri.
Akaunt ya skrill lazima uverify... Kuna njia 2 ambazo waweza tumia kuverifyUna withdraw vp... Maana mm access ya withdraw sina, wananiambia hadi ni verify account, na usalama wake upo vipi
Pay pal vipi in kubari kutoa nimewahi tumia kulipia
Ni kweli kabisaAkaunt ya skrill lazima uverify... Kuna njia 2 ambazo waweza tumia kuverify
1. Wanakata kiasi fulani cha hela kwe kadi yako zen watairudisha wakisha verify.(ni uhakika wanarudisha)
2. Unatakiwa uwatumie scanned document yoyote kama bill ya maji, umeme, benk statement n.k
Hapo
Hapo wallet yako itakuwa active. Na utaitumia kwe mishe yako yooooote kwa uhuru kabisa... Wapo vizuri sana.
Ndiyoo, sana tuu.
Kwa SHITHOLE kantrey huwa inaweza kulipa tu sio kupokea helaPay pal vipi in kubari kutoa nimewahi tumia kulipia
Akaunt ya skrill lazima uverify... Kuna njia 2 ambazo waweza tumia kuverify
1. Wanakata kiasi fulani cha hela kwe kadi yako zen watairudisha wakisha verify.(ni uhakika wanarudisha)
2. Unatakiwa uwatumie scanned document yoyote kama bill ya maji, umeme, benk statement n.k
Hapo
Hapo wallet yako itakuwa active. Na utaitumia kwe mishe yako yooooote kwa uhuru kabisa... Wapo vizuri sana.
Kwa SHITHOLE kantrey huwa inaweza kulipa tu sio kupokea hela
Hakika, ndo maana lazima uverify kwanza.Mkuu nimeona kwenye comments mtandaoni kwamba benki ina uwezo wa kuzuia hela Zako toka Skrill mpaka u-verify source zilipotoka.
So In case 1xbet hawatambuliki Tanzania haiwezi kuleta matatizo kisheria? Manake Tanzania tupo local sana kwenye ulimwengu wa fedha kimataifa.
Na jamaa walivyokuwa wapuuzi vitu essential kama hivi vinavyogusa jamii moja kwa moja hawashughuliki navyo kabisa! Ukiimarisha uchumi wa watu wa chini nchi inaweza ku progress haraka sana kuliko kushughulika na miundo mbinu 80% kwenye kila budget! Sijui wachumi wetu wanawaza nini!Nchi yetu itachelewa sana kuendelea
Hasa kwa kipindi hiki cha .... wamezidi sana yaank wanahaha kuangalia watu wanapambanaje kujikomboa. Kuna vikwazo kibao plus haya makampun ya kibongo ya betting sewange sana.Na jamaa walivyokuwa wapuuzi vitu essential kama hivi vinavyogusa jamii moja kwa moja hawashughuliki navyo kabisa! Ukiimarisha uchumi wa watu wa chini nchi inaweza ku progress haraka sana kuliko kushughulika na miundo mbinu 80% kwenye kila budget! Sijui wachumi wetu wanawaza nini!
Mkuu maswali mawili muhimu kwa Uzoefu wako;Ushauri wangu: ukishakuwa na kadi ya benki (mf. Equity bank au banc abc) fungua pia wallet(mf. Skrill) zen wallet yako ilonk na kadi yako ya bank. Kwa hiyo ka unataka kudeposit utahamisha hela kutoka benk kwenda wallet yako(skrill) zen to ur betting campany.
Kwa sababu wakat mwingine mabenk system zake zinagoma kutuma hela kwe makampuni ambayo yanafanya gambling/kubashiri.
Kwa uzoefu wangu...Mkuu maswali mawili muhimu kwa Uzoefu wako;
1/ Inachukua muda gani kutoa hela Skrill kwenda Account yako ya benki? Nimeona comments Mitandaoni ni siku 5 za kazi..
Tujiandae kabisa Manake tulizoea mobile payments fasta tu.
2/ Makato Yao yapoje Mfano kutoa na kuweka hela Skrill..Yanavumilika?
Thanks Mkuu..Nitaenda benki ABc nicheki nao next week kama bado mobile payments zitakua hazijarudi.Kwa uzoefu wangu...
1. Kuanzia siku 2 za kazi na kiendelea
2. Makato yanavumilika sana
Kama Uliifuata hii,OK NASHEA NA NYINYI WAKUU
ODDS 1.9+
HIZI HAPA KWA SINGLE BET.
KAMA UNAWEZA INYATIE.
NTAKUJA KUWAPA MATOKEO.View attachment 943920
Safi, banc abc haya mambo wanayajua sana.Thanks Mkuu..Nitaenda benki ABc nicheki nao next week kama bado mobile payments zitakua hazijarudi.