ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,261
Umeongea ukweli mtupu broo yaaani hakuna Betting site bora, maridhawa , mujarabu ka 1xbet ivi vikampuni uchwara vya bongo ni wezi na matapeli wapuuzi kabisa yaaani pesa ya kwangu alafu wao wanataka kunipangia matumizi eti wananipangia nibet vip yaaani walivyo wahuni wanaweka opt ambazo kula ni 0.000001probability siwataki ata kuwasikia kama ikishindikana xbet basi nitasubiri mpaka siku watakapo rudi!!!ukweli 1xbet ni betting bora sana kwangu toka ili tatizo lijitokeze nimeshindwa kubet kabisa kwani inanifanya nisiamini app ingine kabisa