1 ,muwe munasalimia kwanza,2 kejele zingine hazifai,3 muwe munafuatilia thread zilizo pita siyo unatoka ucngzn tu unavamia ,hii kitu ina siku tano sasa.wakuu vipi? aisee sion option ya mobile payements kwe 1xbet kuna mtu amekutanan na hio shida au ni mm tu leo?
dah mkuu mbn nmesalimia, anyway nlikua safari porini huko hakuna mtandao so sielewi lolote aisee nkisma nifuatilie thread toka mara ya mwsho september nlipoingia ni page nyngi mno naomba nsaidie kunijulisha kinachoendelea mkuu samahani sana1 ,muwe munasalimia kwanza,2 kejele zingine hazifai,3 muwe munafuatilia thread zilizo pita siyo unatoka ucngzn tu unavamia ,hii kitu ina siku tano sasa.
inamaana ww leo ndo umeona,??
dah mkuu mbn nmesalimia, anyway nlikua safari porini huko hakuna mtandao so sielewi lolote aisee nkisma nifuatilie thread toka mara ya mwsho september nlipoingia ni page nyngi mno naomba nsaidie kunijulisha kinachoendelea mkuu samahani sana1 ,muwe munasalimia kwanza,2 kejele zingine hazifai,3 muwe munafuatilia thread zilizo pita siyo unatoka ucngzn tu unavamia ,hii kitu ina siku tano sasa.
inamaana ww leo ndo umeona,??
Kuna mdau hapa kaniPM kasema nikwambie karibu tena JFwakuu vipi? aisee sion option ya mobile payements kwe 1xbet kuna mtu amekutanan na hio shida au ni mm tu leo?
Mkuu hizo option hazipo kwa sasa endelea kusubiri mpaka hapo zitakapo rudishwadah mkuu mbn nmesalimia, anyway nlikua safari porini huko hakuna mtandao so sielewi lolote aisee nkisma nifuatilie thread toka mara ya mwsho september nlipoingia ni page nyngi mno naomba nsaidie kunijulisha kinachoendelea mkuu samahani sana
Umeongea point kubwa sana mzee!!!Tupieni mikeka watu wa bet hizo blah blah waachieni wanawake mashindano ambayo hayamake sense......
nashkuru sana mkuu, ngoja nirudi sites za nyumbani tu haphapa niendelee kufanya kaziMkuu hizo option hazipo kwa sasa endelea kusubiri mpaka hapo zitakapo rudishwa
ook ucjal,hawa jamaa wana siku karibia tano sasa wametoa njia hizi za ku deposit/kudraw.dah mkuu mbn nmesalimia, anyway nlikua safari porini huko hakuna mtandao so sielewi lolote aisee nkisma nifuatilie thread toka mara ya mwsho september nlipoingia ni page nyngi mno naomba nsaidie kunijulisha kinachoendelea mkuu samahani sana
dah! wakuu yaan mnacomplicate mambo duh, ila amna tabu maana kuna mkuu ameshanijibuKuna mdau hapa kaniPM kasema nikwambie karibu tena JF
poapoa mkuu asanteook ucjal,hawa jamaa wana siku karibia tano sasa wametoa njia hizi za ku deposit/kudraw.
inasumbua sana kwa maana ndo njia rafiki hasa kwa sisi wa halu za kawaida ila pia unaweza kuweka kwa kutumia njia zingine kama wanavyoelekeza kwenye system yao ya kuweka na kutoa,nazani wanajipanga kutokana na usumbufu uliokuwa ukijitokeza kwa kucheleweshwa kwa miamala.
Sio elfu tatu sasa inayotengeneza M1 kwa siku kumi ni elfu moja ndo ushangae.Sasa wewe kweli kwa hizo 3000 kwa siku kumi unashika milioni kweli
[emoji121][emoji121][emoji121]Kwenye kubeti kuna kula na kuliwa.
poa
Sasa mimi nimetengeneza faida ya elfu 60 huyo mwenzako elfu 30 wapi na wapi sasaSio elfu tatu sasa inayotengeneza M1 kwa siku kumi ni elfu moja ndo ushangae.
Nimekupa task ya kupitia comments za nyuma kidogo ioa hutaki basi endelea kula elfu 60 kwa siku! Kitu ambacho ni sawa na kiwango cha lukaku (HAKINA CONSISTENCY)
[emoji23][emoji23][emoji23], dah! taratibu mkuu.1 ,muwe munasalimia kwanza,2 kejele zingine hazifai,3 muwe munafuatilia thread zilizo pita siyo unatoka ucngzn tu unavamia ,hii kitu ina siku tano sasa.
inamaana ww leo ndo umeona,??
Bro wewe ni mgumu sana kuelewa nimetengeneza sh 30k kwa muda wa dkk 45 so count siku nzima ambayo wewe unaitumia kutengeneza sh 60k ina dkk 45 ngap yani ziko dkk 45 ngap ili kutimiza siku nzima ukishajua idadi yake zizidishe mara iyo 30k then rudi apa ubwabwaje, maana sion logic yako katika huu ubishani wako ni ipi kwamba unipangie amount ya kustake ama hoja yako ni ipi kwa apa braza?Sasa mimi nimetengeneza faida ya elfu 60 huyo mwenzako elfu 30 wapi na wapi sasa