Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Sasa mia 2 unadhani ndogo hio kwa mtu ulie lala kitandani tu! Hayo ni mafuta ya mwezi mzima kwa mmiliki wa ISTMfano leo kuanzia saa kumi alffajiri mpka saa moja asubuhi nimetengeneza sh laKi mbili kwa hizi hizi stake je hii ela ni ndogo boss within two hrs nimetengeneza iyo amount na ivi vistake vyangu alafu nafunga mahesabu till jion au baadae muda wowote nitakao jiskia kuingia kazini tena bet ni ujipimie mwamba sio ukamie kama vile unatafuta cha kwanza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3] ukikamia betting basi kila siku ni lazima rangi nyeusi zikutembelee kwa profile yako mzee dingi!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]