The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Nenda kwe akaunt yako ya skrill sehemu ya banks and cards hapo utaweka card no.(visa card no.)Hapo sielewi unafanyaje ili kuilink mzee baba
HahaaaHawa waliomaliza form 4 juz nakujiunga kubet; wanasumbua sana humu. Ndy mfaulu nyie kweli!! Ishu ni ndogo lakin maelekezo yalivyo mengi inaonyesha F za kutosha
Haya ni masuala ya pesa mzee baba sio koroshow,kila kitu ni vyema uulize kwa wanaojuaHawa waliomaliza form 4 juz nakujiunga kubet; wanasumbua sana humu. Ndy mfaulu nyie kweli!! Ishu ni ndogo lakin maelekezo yalivyo mengi inaonyesha F za kutosha
Haya ni masuala ya pesa mzee baba sio koroshow,kila kitu ni vyema uulize kwa wanaojua
Tuvumiliane tuu, kusaidiana muhimu. Otherwise tutafanana na mikampuni ya kibongo hayataki watz tufanikiwe yanawaza yanufaike yenyewe tuuHawa waliomaliza form 4 juz nakujiunga kubet; wanasumbua sana humu. Ndy mfaulu nyie kweli!! Ishu ni ndogo lakin maelekezo yalivyo mengi inaonyesha F za kutosha
Ni vyema kuuliza hata nikionekana kilaza kiasi gan,sio kwenda kichwakichwa na ndo nyie walewaleWa kwanza tayar umejitokeza!! Nasubr wenzako
hahahahaah wan ex bet katuletea balaa kwakweli yan akili zimegoma kabisa kutudisha majeshi nyumbaniHii ngoma ngumu wajitahidi tuu warudishe malipo kwa njia ya simu. Nimejarinu kufungua account ya skrill changamoto
1. Kwenye orodha ya nchi Tanzania nimeiona na nikachagua
2. Sasa kwenye aina ya fedha nimeangalia weee Tshs. Hakuna hivyo nikachagua USdoller
3.Nimeendelea na next next finish wee!! nikaja kukwama kwenye lengo la kuweka fedha kwenye wallet. Mara ya kwanza nilikuwa mkweli nikachagua kwenye gambling ikagoma ku deposit nilipobadilisha tuu kuweka non gabling ilakubali.
4. Kuhamisha fedha sasa kutoka kwenye wallet kwenda 1xbet kila wakati imenigomea sasa nataka nirudishe fedha zangu kwenye akaunti yangu nikubali yaishe mpaka mambo yatakapokuwa poa
Ulivohamisha kutoka benki kwenda kwenye wallet ya skrill imechukua muda gani?Hii ngoma ngumu wajitahidi tuu warudishe malipo kwa njia ya simu. Nimejarinu kufungua account ya skrill changamoto
1. Kwenye orodha ya nchi Tanzania nimeiona na nikachagua
2. Sasa kwenye aina ya fedha nimeangalia weee Tshs. Hakuna hivyo nikachagua USdoller
3.Nimeendelea na next next finish wee!! nikaja kukwama kwenye lengo la kuweka fedha kwenye wallet. Mara ya kwanza nilikuwa mkweli nikachagua kwenye gambling ikagoma ku deposit nilipobadilisha tuu kuweka non gabling ilakubali.
4. Kuhamisha fedha sasa kutoka kwenye wallet kwenda 1xbet kila wakati imenigomea sasa nataka nirudishe fedha zangu kwenye akaunti yangu nikubali yaishe mpaka mambo yatakapokuwa poa
Mwenye kuielewa hii tip msaada tafadhalistake single
*Booking Number:Z6MBC6V6*
24/11/2018 09:10:58
Code 5237 Date 24/11/2018 18:30
Event Tottenham - Chelsea
Live/Prematch Prematch Selection X
Code 5237 Date 24/11/2018 18:30
Event Tottenham - Chelsea
Live/Prematch Prematch Selection 2-2
Code 8189 Date 24/11/2018 20:45
Event Atl. Madrid - Barcelona
Live/Prematch Prematch Selection X
Code 8189 Date 24/11/2018 20:45
Event Atl. Madrid - Barcelona
Live/Prematch Prematch Selection 1-1
*Stake: ₦ 20,000.00*
*Multiple bet*
hapo kuna correct score isiyokuwa na uhakika kaweka 1-1 2-2 n.k ili uwe safe sasa cheza x2 ikimaanisha mpe Chelsea ashinde au atoe droo.Mwenye kuielewa hii tip msaada tafadhali
Nimefanikiwa nishaweka helaSkrill wallet hii hapa, ukipata problemaaaa nicheki nikusaidie... Bofya hii link kujiunga.
Registration
Wapi kaandika nimpe Chelsea ashinde mbona sipaoni mkuu??hapo kuna correct score isiyokuwa na uhakika kaweka 1-1 2-2 n.k ili uwe safe sasa cheza x2 ikimaanisha mpe Chelsea ashinde au atoe droo.
Umetumia benk akaunt gani, na hela ishaingia skrill akaunt?Nimefanikiwa nishaweka hela
huo ni ushauri nimekupa ili uwe safe cheza hivyo na sjasema adhinde tu mpe double chance kama hujaelewa basi.Wapi kaandika nimpe Chelsea ashinde mbona sipaoni mkuu??
Hii ngoma ngumu wajitahidi tuu warudishe malipo kwa njia ya simu. Nimejarinu kufungua account ya skrill changamoto
1. Kwenye orodha ya nchi Tanzania nimeiona na nikachagua
2. Sasa kwenye aina ya fedha nimeangalia weee Tshs. Hakuna hivyo nikachagua USdoller
3.Nimeendelea na next next finish wee!! nikaja kukwama kwenye lengo la kuweka fedha kwenye wallet. Mara ya kwanza nilikuwa mkweli nikachagua kwenye gambling ikagoma ku deposit nilipobadilisha tuu kuweka non gabling ilakubali.
4. Kuhamisha fedha sasa kutoka kwenye wallet kwenda 1xbet kila wakati imenigomea sasa nataka nirudishe fedha zangu kwenye akaunti yangu nikubali yaishe mpaka mambo yatakapokuwa poa
Huu ni Ukiazii!! Mr kasema ili uwe safe weka X2 a kweny maelezo yake hakuna aliposema chelsea kapewa kushinda!! Tips za Pddy zinaonyesha chaguo la DC tuu. Ndy mana nasema F nying mnabsha. Kusoma hapo uelewe umeshindwa ndy Over 1.643 goals uweze kutofautsha na Over 1.5 goalsWapi kaandika nimpe Chelsea ashinde mbona sipaoni mkuu??