Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odds 48 hizooooo, jichagulie mechi chache utusue mapene!

1543057633309.png
 
1xbet ni moja ya njia ya kuweka na kutoa pesa ila mkuu hapo juu anasema kutoka bank kwenda skrill imekubal ila baada ya kuongopa its not for gambling issues maana mara ya kwanza ilimgomea, ila sasa kutoka skrill kwenda 1xbet ndio imegoma, labda me na yeye hatujui kwann ndio maana anasubir hapa waliotumia hyo njia na wakaweka tu pesa vizur.
Dah sio mchezo mkuu, kwa hizi kashi kashi unakuta kuna malaya anakwambia tuma na ya kutolea!
 
Huu ni Ukiazii!! Mr kasema ili uwe safe weka X2 a kweny maelezo yake hakuna aliposema chelsea kapewa kushinda!! Tips za Pddy zinaonyesha chaguo la DC tuu. Ndy mana nasema F nying mnabsha. Kusoma hapo uelewe umeshindwa ndy Over 1.643 goals uweze kutofautsha na Over 1.5 goals
Kwani huwezi kumwelekeza mtu mpaka umpe matusi ya F,????

Kama una A ni za kwako, wote hatuezi fanana. Unaringia elimu ya Tanzania tena umesomea Shule za kata na vyuo vya mwendo kasi,!?!! Je ungesomea Urusi si ungekua unakunya kwenye sufuria?!??

Kama kweli una elimu, itumi kusaidia watu so kuwatukana.

NB, ulipata elimu lakini bado hujaelimika.
 
Ana elimu gani kima huyu hana lolote wenye elimu hawanaga upopoma kama wake achana nae tunampka kiki tu hapa.....
 
ENGLAND: League One
Bradford City - Oxford Utd
Tip: Home wins

ENGLAND: National League
AFC Flyde - Boreham Woods
Tip: Home win

Germany - Bundesliga
Hertha BSC - Hoffenheim
Tip: BTS (Yes)

SPAIN: LaLiga
Atl. Madrid - Barcelona
Tip: BTS(Yes)

Arab Gulf League
Ittihad Kalba - AL Ain FC
Tip: BTS(Yes)

Italy - Serie A
Udinese - Roma
Tip: Away win

France - Ligue 1
Nantes - Angers
Tip: Home win'

MEXICO - APERTURA
Monarcas - Cruz Azul
Tip: Halftime X
 
Mkuu elimu yangu ni ya kusoma na kuandika na kuelewa ishuu za kawaida kuhusu maisha!! Sasa mtu anaelekezwa kitu haelewi chochote kabaa, ni kizunguka zunguka tu. Mtu anaambiwa fanya hiv, hawezi!! Mtu kama huyo ni asaidiwe vp? Huyo mwingn hapo juu unamwona anakuja mzima mzima kuuliza kuhusu mitandao ya ku-deposit ya Tz kweny 1xbet, na tatzo saiv cjui lina wiki 2 hv lakin hasomi posts za nyuma hata chache ajue kulikon hivyo. Watu ni wazembe
Kwani huwezi kumwelekeza mtu mpaka umpe matusi ya F,????

Kama una A ni za kwako, wote hatuezi fanana. Unaringia elimu ya Tanzania tena umesomea Shule za kata na vyuo vya mwendo kasi,!?!! Je ungesomea Urusi si ungekua unakunya kwenye sufuria?!??

Kama kweli una elimu, itumi kusaidia watu so kuwatukana.

NB, ulipata elimu lakini bado hujaelimika.
 
Equity Bank haikubali transaction za gambling

Barclays, NBC na wengine ni rahisi kama wanawa
We ushafungua account mojawapo ya hizo benk?

Na vipi wanaruhusu online transaction kwenda kampuni yoyote ya gambling ?

Umefanikiwa kiujumla?
 
GAME OF THE DAY

Juventus-1 (italy)
Gamba osaka-1x (japan)
Persipura-dnb (Indonesia)
Sv litchtenberg-1 (germ)
Celtic-2 (Scotland)
AL duhail-2 (qatar)
Inter-1 (italy)
Man utd-dnb(eng)
Dortmund-2x (germ)
Everton-dnb(eng)
Lazio u19-1 (italy)
Panathinakos-1 (greece)

Total odds
10.92
 
Back
Top Bottom