stake singleMwenye kuielewa hii tip msaada tafadhali
Ku link unafanya mwenyewe, baada ya kufungua account Watakwambia uweke kadi, so hapo unakuwa umeshaiunganisha kadi yako1. Aisee watu waliotangulia kuelewa hizi huduma wanatoa taarifa nusu nusu. Kuna mdau alitoa information kuwa equity nao wapo poa. Hivyo nilifungua account yao na nikawaambia waruhusu online transaction wakasema kadi yao ipo poa ndani ya dakika kadhaa. Sasa kila nikijaribu kudepost nafuata taratibu zote, mwisho wa siku pesa haiendi ujumbe nanaotumiwa ni kuwa wrong card number. Sasa nimefunguka kuwa kwenye haya makampuni ya kubashiri benki inaogopa kutuma fedha jambo ambalo watu hawakufafanua. Inabidi sasa niitafute hiyo care of nijiunge na skrill halafu nirudi tena equituy niwaambie wa link. Tofauti na hapo naondoa fedha zangu na kuvunja vunja kadi hii.
Imekula kwangu boss hata ku withdraw imegoma, kupeleka 1XBET imegoma sasa nataka kuifunga akauti kwa hasira dollar 21 zifiemo nimechoka, nimejaribu kufungua akaunt ya nettler yenyewe kudeposit imegomaAlafu hiz mambo mkuu za pesa huwa tunaanzaga na kapesa kiduchu kuona kama inaworkout vizur au laah maana unaweza tia mpunga mwingi alafu unakutana na ugumu kama huo.
Ooohhh nimekusoma mkuu kumbe ushauri akhasnte nitauzingatiahuo ni ushauri nimekupa ili uwe safe cheza hivyo na sjasema adhinde tu mpe double chance kama hujaelewa basi.
Imekula kwangu boss hata ku withdraw imegoma, kupeleka 1XBET imegoma sasa nataka kuifunga akauti kwa hasira dollar 21 zifiemo nimechoka, nimejaribu kufungua akaunt ya nettler yenyewe kudeposit imegoma
ww mwenye PHd una umaaurfu gan Tanzania.......hafu nilishakwambia kama unaona umenizd elimu tuweke vyeti vya hyo elimu unayojisifia nayo punga ww.....kazi kushobokea wanaume sifi.ra.gi meme.Huu ni Ukiazii!! Mr kasema ili uwe safe weka X2 a kweny maelezo yake hakuna aliposema chelsea kapewa kushinda!! Tips za Pddy zinaonyesha chaguo la DC tuu. Ndy mana nasema F nying mnabsha. Kusoma hapo uelewe umeshindwa ndy Over 1.643 goals uweze kutofautsha na Over 1.5 goals
hiyo ndio ilinishinda ndio baadhi ya wadau wakashauri tutumie mtu kati huyu. Dirrect kwa hii kadi ya equity hainikubalii kabisa lanini skrill imekubali kupeleka fedha sasa kutoka skrill kwenda 1x ndipo hali ya hewa ilipobadilikaPole mkuu ndio changamoto hizo ikishindikana kabisa deposit tu kawaida kwa visa /mastercard kama kadi yako iko activated maana hiz nyingine za kutumia middleman zina changamoto kidogo naona kwa sisi na hela yetu hii ya madafu.
hiyo ndio ilinishinda ndio baadhi ya wadau wakashauri tutumie mtu kati huyu. Dirrect kwa hii kadi ya equity hainikubalii kabisa lanini skrill imekubali kupeleka fedha sasa kutoka skrill kwenda 1x ndipo hali ya hewa ilipobadilika
Mkuu kama hutajali, we unatumia bank gani kama host wako aliekupa card, maana si kila bank wako freshi! Wengine wasumbufu sana!Hapana Mkuu mbona simple sana ukitumia Skrill.
Ukila let's say 10,000 1xbet unaipeleka Skrill Bure, Sababu Skrill inapokea kuanzia 3,500.hapa fasta tu.
Baada ya hapo unaitoa Skrill to bank account yako Bure pia.Hapa let's say siku 2.Then unaitoa hata kwa ATM haizidi 1,500.
Ukitumia Skrill unaepuka zile habari za kianzio cha kutoa 130,000 huko.Unaanza 3,500 ambayo inafika kwenye Account yako ya benki bila Makato yeyote..
Skrill wanaruhusu kutuma hela kwa gambling companies?Pole mkuu hebu subir wenye kujua huenda watakuja kukupa msaada maana naona middleman amechukua mpunga kutoka bank lakin hatak kuupeleka 1xbet na hataki kuurudisha alipouchukua.
Huyo jamaa anajiona anajua sana as if waouliza hawajielewiww mwenye PHd una umaaurfu gan Tanzania.......hafu nilishakwambia kama unaona umenizd elimu tuweke vyeti vya hyo elimu unayojisifia nayo punga ww.....kazi kushobokea wanaume sifi.ra.gi meme.
ipo kwenye account gani kaka?Imekula kwangu boss hata ku withdraw imegoma, kupeleka 1XBET imegoma sasa nataka kuifunga akauti kwa hasira dollar 21 zifiemo nimechoka, nimejaribu kufungua akaunt ya nettler yenyewe kudeposit imegoma
Skrill wanaruhusu kutuma hela kwa gambling companies?
Pole sana mkuu naona unauliza kitu ambacho watu tunahangaika kukitafutia suluhisho, kiufupi tu hizo njia za malipo zimepigwa pini kwasasa mpaka badae sana au zinaweza zisirudi kabisaJamani kwenye 1x sioni kampuni za malipo kama tigo voda zote azipo kuna nn nijuzwe
Huyu ***** sana yahn watu tunavyomnyamzia unatuona mafala......faken tyu huyu asumbui nammudu vizri ana mambo ya kiseng.e sana anadhani watu hatujasoma sijui .....yahn naamini kwa upupu wake anaondikaga hajanipita levo yyte ya elimu ya Tanzania ijapokuwa me ni F kama anavyodai ss yy sijui atakuwa hali gani.Huyo jamaa anajiona anajua sana as if waouliza hawajielewi