Ndugu,pumzika tu.Jamani kwenye 1x sioni kampuni za malipo kama tigo voda zote azipo kuna nn nijuzwe
Dah sio mchezo mkuu, kwa hizi kashi kashi unakuta kuna malaya anakwambia tuma na ya kutolea!1xbet ni moja ya njia ya kuweka na kutoa pesa ila mkuu hapo juu anasema kutoka bank kwenda skrill imekubal ila baada ya kuongopa its not for gambling issues maana mara ya kwanza ilimgomea, ila sasa kutoka skrill kwenda 1xbet ndio imegoma, labda me na yeye hatujui kwann ndio maana anasubir hapa waliotumia hyo njia na wakaweka tu pesa vizur.
Kwani huwezi kumwelekeza mtu mpaka umpe matusi ya F,????Huu ni Ukiazii!! Mr kasema ili uwe safe weka X2 a kweny maelezo yake hakuna aliposema chelsea kapewa kushinda!! Tips za Pddy zinaonyesha chaguo la DC tuu. Ndy mana nasema F nying mnabsha. Kusoma hapo uelewe umeshindwa ndy Over 1.643 goals uweze kutofautsha na Over 1.5 goals
Dah sio mchezo mkuu, kwa hizi kashi kashi unakuta kuna malaya anakwambia tuma na ya kutolea!
Nimepata option mpya kbsaa uhakika 100% sure weka PESA yeyote
Shusha vituNimepata option mpya kbsaa uhakika 100% sure weka PESA yeyote
skrillipo kwenye account gani kaka?
Nimepata option mpya kbsaa uhakika 100% sure weka PESA yeyote
Mkuuu nashusha vitu..... sema odds Ndogo dahhhAhahaha tatizo lako mkuu unakujaga na mbwembwe kama zote alafu mwisho wa siku unadiappear mazima unatuachia mibalaa huku[emoji38][emoji38][emoji38]
Equity Bank haikubali transaction za gambling
Barclays, NBC na wengine ni rahisi kama wanawa
Ana elimu gani kima huyu hana lolote wenye elimu hawanaga upopoma kama wake achana nae tunampka kiki tu hapa.....Kwani huwezi kumwelekeza mtu mpaka umpe matusi ya F,????
Kama una A ni za kwako, wote hatuezi fanana. Unaringia elimu ya Tanzania tena umesomea Shule za kata na vyuo vya mwendo kasi,!?!! Je ungesomea Urusi si ungekua unakunya kwenye sufuria?!??
Kama kweli una elimu, itumi kusaidia watu so kuwatukana.
NB, ulipata elimu lakini bado hujaelimika.
Kwani huwezi kumwelekeza mtu mpaka umpe matusi ya F,????
Kama una A ni za kwako, wote hatuezi fanana. Unaringia elimu ya Tanzania tena umesomea Shule za kata na vyuo vya mwendo kasi,!?!! Je ungesomea Urusi si ungekua unakunya kwenye sufuria?!??
Kama kweli una elimu, itumi kusaidia watu so kuwatukana.
NB, ulipata elimu lakini bado hujaelimika.
We ushafungua account mojawapo ya hizo benk?Equity Bank haikubali transaction za gambling
Barclays, NBC na wengine ni rahisi kama wanawa