Mmmh.....teh teh tehKwani huwezi kumwelekeza mtu mpaka umpe matusi ya F,????
Kama una A ni za kwako, wote hatuezi fanana. Unaringia elimu ya Tanzania tena umesomea Shule za kata na vyuo vya mwendo kasi,!?!! Je ungesomea Urusi si ungekua unakunya kwenye sufuria?!??
Kama kweli una elimu, itumi kusaidia watu so kuwatukana.
NB, ulipata elimu lakini bado hujaelimika.
Mkuu naelewa ishu za maisha tu inanitosha ila siyo kwa uduanzi huu wa kupewa kila kitu na kujiongeza watu hawawezi. Uzembe mwing. Shida mmezoea ganda la ndizi sanaww mwenye PHd una umaaurfu gan Tanzania.......hafu nilishakwambia kama unaona umenizd elimu tuweke vyeti vya hyo elimu unayojisifia nayo punga ww.....kazi kushobokea wanaume sifi.ra.gi meme.
Huyo jamaa anajiona anajua sana as if waouliza hawajielewi
Weka tu usiwaze kuhusu odds sisi hata 1.02 tunaruka nayoMkuuu nashusha vitu..... sema odds Ndogo dahhh
Tatizo lako wewe sound nyingi sana halafu hatuoni positive outcomes.Nimepata option mpya kbsaa uhakika 100% sure weka PESA yeyote
Mkuu vipSkrill wallet hii hapa, ukipata problemaaaa nicheki nikusaidie... Bofya hii link kujiunga.
Registration
tuambie mzee baba ni option gani hiyoTatizo lako wewe sound nyingi sana halafu hatuoni positive outcomes.
Maisha gani unayajua ww mchimba chumvi kazi kutwa nzima kuleta taarabu humu ndani ***** ww.....peleka ubashite wako kwanu faken wwMkuu naelewa ishu za maisha tu inanitosha ila siyo kwa uduanzi huu wa kupewa kila kitu na kujiongeza watu hawawezi. Uzembe mwing. Shida mmezoea ganda la ndizi sana
Option ya pesa hyooo.tuambie mzee baba ni option gani hiyo
Ndiyo chief... Itaconvert yenyewe kama ilivyoconvert kutoka benk yako kwenda skrill.Mkuu vip
Mi nataka tu kujua
Kwenye skrill a/ c ipo interms of usd$ na kwenye 1xbet tumesajil interms of tsh sasa wakati wakuhamisha hela kutoka skril kwenda 1xbet inakuaje hapo
Au inaconvert yenyewe?
Jibu please
Naona Game ya Man U vs Crystal Palace inatoa Over 2.5Maisha gani unayajua ww mchimba chumvi kazi kutwa nzima kuleta taarabu humu ndani ***** ww.....peleka ubashite wako kwanu faken ww
Poa mkuuNdiyo chief... Itaconvert yenyewe kama ilivyoconvert kutoka benk yako kwenda skrill.
Huwa natumia snipping tool kuihailaiti mikeka na kupaste JF. Ila tatizo mobile application ya JF inazingua, so kwa wanaotumia simu sometimes inakuwa vigumu kufungua document. Tumia PC mkuu.Hii mikeka yako huwa unaiscreenshot au unafanyaje maana haieleweki
Ok poa manHuwa natumia snipping tool kuihailaiti mikeka na kupaste JF. Ila tatizo mobile application ya JF inazingua, so kwa wanaotumia simu sometimes inakuwa vigumu kufungua document. Tumia PC mkuu.
Wote tuna miguu lakini hatuwezi kucheza mpira kama Messi, kwenye learning process kuna watu ni fast learners na wengine na slow learner's!!!!Mkuu elimu yangu ni ya kusoma na kuandika na kuelewa ishuu za kawaida kuhusu maisha!! Sasa mtu anaelekezwa kitu haelewi chochote kabaa, ni kizunguka zunguka tu. Mtu anaambiwa fanya hiv, hawezi!! Mtu kama huyo ni asaidiwe vp? Huyo mwingn hapo juu unamwona anakuja mzima mzima kuuliza kuhusu mitandao ya ku-deposit ya Tz kweny 1xbet, na tatzo saiv cjui lina wiki 2 hv lakin hasomi posts za nyuma hata chache ajue kulikon hivyo. Watu ni wazembe
[emoji3][emoji3] umechefukwa sana mkuu naonaDah sio mchezo mkuu, kwa hizi kashi kashi unakuta kuna malaya anakwambia tuma na ya kutolea!